Wezi wa ndoa muda wenu umeisha

Ninakwenda kinyume na maagano yote ya Infidelity .
Roho chafu zinazowa- convice wapwa na mabinamu kujihusisha na infidelity zishindwe na zilegee
Amen

Kuna vitu vingine kulegea ni ngumu BENDERA CHUMA, MLINGOTI WA CHUMA
 
Leo nimeshangaa sana, nimegombana na 'small house' mpaka tumepigiana mkwala 'its over'...nakuja hapa jukwaani nakutana na hii kitu....hehehehehe, kumbe nimefanyiwa maombi?
 
leo nimeshangaa sana, nimegombana na 'small house' mpaka tumepigiana mkwala 'its over'...nakuja hapa jukwaani nakutana na hii kitu....hehehehehe, kumbe nimefanyiwa maombi?

si maombi ni favour ya mungu imekudondokea kazi kwako kuomba nguvu za mungu zikusaidie kusimama na kuachana nao zile ni roho usione vile..jioni ya leo endelea kuomba mavazi hapo juu ukatakaswe na zaidi omba rehema ama soma zab 51 yote...akuna aliesafi wote wamefanya dhambi na kupungikiwa na utukufu wa mwingi lakini ukisoma timotheo utaona pamoja na uovu wakona uzinzi wako bado milango iko wazi yesu anakuitaji akusamehe dhambi zako\
anza sasa
 
maombi ya mkesha mazuri sana pdidy karibu kwenye chama chetu cha no to infidelity unakaribishwa kwa moyo mkunjufu.

smiles welcome party ni wapi tena? Nikumbushe.


madhabahuni
 

.aaaaameeen. Imetulia kwelikweli.lakini naomba kuulize, je, lile dirisha/forum ya dini inaingilika?thread hii ingekakaa kule ingependeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…