Wezi wa ng’ombe wanatuonesha, lakini kwa nini hatuoneshi wezi wa madini?

Wezi wa ng’ombe wanatuonesha, lakini kwa nini hatuoneshi wezi wa madini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nawaza tu, mnatuoneshwa wezi wa ng’ombe na wezi wa mbuzi, lakini sijasikia kuhusu wezi wa madini.

Sijui walawiti wala masuala ya Madawa ya kulevya.

Kwa nini hawa wezi wa madini hawatuoneshwi?
 
Back
Top Bottom