Heci JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 3,591 Reaction score 6,114 Apr 18, 2024 #1 Wezi wa kazi za wasanii wa zamani walikua majahiri sana , wanaweka Hadi anwani ππ€£
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Apr 18, 2024 #2 K11 said: Walikuwa na connection kubwa na vyombo vya dola, hivyo kuna mgawo vigogo walikuwa wanapewa. Pia inasadikika IGP mario alikuwa anapewa mzigo ulionona toka kwa majambazi. Click to expand... Hujaelewa mada hata kidogo
K11 said: Walikuwa na connection kubwa na vyombo vya dola, hivyo kuna mgawo vigogo walikuwa wanapewa. Pia inasadikika IGP mario alikuwa anapewa mzigo ulionona toka kwa majambazi. Click to expand... Hujaelewa mada hata kidogo
Dkisaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2018 Posts 623 Reaction score 1,809 Apr 18, 2024 #3 Enzi hizo kua na anwani Tu, maokoto ni nje nje .
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 Apr 18, 2024 #4 Mr mutuu said: Hujaelewa mada hata kidogo Click to expand... mada inahusu wizi wa kazi za wasanii, mimi nimegusia wizi na uhalifu kwa ujumla
Mr mutuu said: Hujaelewa mada hata kidogo Click to expand... mada inahusu wizi wa kazi za wasanii, mimi nimegusia wizi na uhalifu kwa ujumla
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Apr 18, 2024 #5 K11 said: mada inahusu wizi wa kazi za wasanii, mimi nimegusia wizi na uhalifu kwa ujumla Click to expand... Hapo sawa mkuu
K11 said: mada inahusu wizi wa kazi za wasanii, mimi nimegusia wizi na uhalifu kwa ujumla Click to expand... Hapo sawa mkuu
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,590 Reaction score 3,632 Apr 18, 2024 #6 Fellician Muta Mzee wa FM alipiga sana Hela kwa biashara hii..