Wezi wa zamani walikuwa wanaweka na anwani zao kabisa

Wezi wa zamani walikuwa wanaweka na anwani zao kabisa

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,591
Reaction score
6,114
1713426060628.jpg


Wezi wa kazi za wasanii wa zamani walikua majahiri sana , wanaweka Hadi anwani 😂🤣
 
Walikuwa na connection kubwa na vyombo vya dola, hivyo kuna mgawo vigogo walikuwa wanapewa.

Pia inasadikika IGP mario alikuwa anapewa mzigo ulionona toka kwa majambazi.
Hujaelewa mada hata kidogo
 
Enzi hizo kua na anwani Tu, maokoto ni nje nje .
 
Fellician Muta Mzee wa FM alipiga sana Hela kwa biashara hii..
 
Back
Top Bottom