Wajuba wametishaKundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar .
Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa sare za wafanyakazi wa Serikali.
Vifaa vilivyotumika kuiba daraja hilo ni pamoja na tinga tinga aina ya jcb lililochimbua nguzo na tochi za kukatika vyuma
View attachment 2189579 Kabla ya wizi
View attachment 2189586
Hata bongo wapo juzi alimanisura waibe lile la tanzanite kama sio jeshi letu la polisi kitengo cha intelegensia kuwa makini nabimara wakashtukia jamaa wangefanikiwaKundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar .
Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa sare za wafanyakazi wa Serikali.
Vifaa vilivyotumika kuiba daraja hilo ni pamoja na tinga tinga aina ya jcb lililochimbua nguzo na tochi za kukatika vyuma
View attachment 2189579 Kabla ya wizi
View attachment 2189586
India daima ni nchi ya mambo makubwa makubwa tu na ya kipekee.Wakati wa corona mpaka maafisa wa serikali walikuwa wakioga mavi ya ng'ombe. Na juzi jamaa mmoja akamtaka muajiriwa wake amletee mkewe alale naye siku moja ili ampatie uhamisho alioomba.Huko India juzi wamegang rape kenge sembuse kuiba daraja!
Wevi wame kwiba.Wababe kazini
Fafanua hiyo. Wanaenda wapi halafu wanarudi wapi.Apo kuna ishu inaendelea,Hilo Daraja limeibiwa ili watu wafanikishe Shughuli yao.Siyo kwamba wanaenda uza Skrepa.Watu wanaenda kupiga Dili alafu nyie Wakora mkija mbio mnakuta hakuna Njia.
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar .
Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa sare za wafanyakazi wa Serikali.
Vifaa vilivyotumika kuiba daraja hilo ni pamoja na tinga tinga aina ya jcb lililochimbua nguzo na tochi za kukatika vyuma
View attachment 2189579 Kabla ya wizi
View attachment 2189586
Wewe unafikiri watu wakeshe siku3 alafu wakauze Skrepa?Maana yangu ni kuwa hapo kuna Mchongo wa kuzuiya njia watu wasipite huku hao wezi wanajuwa nn dhamira yao.Fafanua hiyo. Wanaenda wapi halafu wanarudi wapi.