Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwetu swax watu wamevamia misalaba ya chuma makaburini wanaenda kuuza kama chuma chakavuKundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar .
Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa sare za wafanyakazi wa Serikali.
Vifaa vilivyotumika kuiba daraja hilo ni pamoja na tinga tinga aina ya jcb lililochimbua nguzo na tochi za kukatika vyuma
View attachment 2189579 Kabla ya wizi
View attachment 2189586
Labda wameenda kuliuza kwa mkandarasi aliyepewa kazi ya kukenga daraja PakstanWamelipeleka wapi na wamekwebda kufanyia nn?
Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar .
Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa sare za wafanyakazi wa Serikali.
Vifaa vilivyotumika kuiba daraja hilo ni pamoja na tinga tinga aina ya jcb lililochimbua nguzo na tochi za kukatika vyuma
View attachment 2189579 Kabla ya wizi
View attachment 2189586
Siyo "wezi" hao.Ni kampuni ya uchukuzi wa mizigo ambayo haijasajiliwa.😂😂😂Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar .
Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa sare za wafanyakazi wa Serikali.
Vifaa vilivyotumika kuiba daraja hilo ni pamoja na tinga tinga aina ya jcb lililochimbua nguzo na tochi za kukatika vyuma
View attachment 2189579 Kabla ya wizi
View attachment 2189586
rekodi ninazozikumbuka za wizi ilikuwa ni wale waliosimamisha ndege kati kati ya uwanja kabla kuruka na kuiba pesa Nigeria, na kule Afrika kusini waliofungua ATM machine na kuondoka nayo.Hii ya kuiba daraja kwa siku tatu asubuhi mpaka muda wa kazi halafu kurudia kesho yake mpaka kazi ikaisha tena mchana bila shaka itakuwa imevunja rekodi
India pia !!Hebu simulia kidogo.Sidhani kuwa hiyo ni kali kuliko hii.
en.m.wikipedia.org
Limeuzwa tzWamelipeleka wapi na wamekwebda kufanyia nn?