Wezi waiba daraja India

Huko kwetu swax watu wamevamia misalaba ya chuma makaburini wanaenda kuuza kama chuma chakavu
 
India nako Serikali imelala kama bongo​

Siyo "wezi" hao.Ni kampuni ya uchukuzi wa mizigo ambayo haijasajiliwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siyo "wezi" hao.Ni kampuni ya uchukuzi wa mizigo ambayo haijasajiliwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama ni hivyo afadhali angalau wangeliimarisha hilo daraja.Sasa kuondoka nalo na halijapatikana bado watapita wapi hata wao wenyewe.
 
Hizo zote trela. Fatilia bombay jewery heist ya late 80s... hiyo ni perfect crime ilifanyika india pia
 
India hata mchanga wa kujengea ni wa magendo yani sawa na biashara ya dawa za kulevya.
India underworld wana nguvu na ukikichanganya umekufa
 
Hizo zote trela. Fatilia bombay jewery heist ya late 80s... hiyo ni perfect crime ilifanyika india pia
India pia !!Hebu simulia kidogo.Sidhani kuwa hiyo ni kali kuliko hii.
 
Hii inaitwa brigde heist Kwa wazee wa movie. Ifatilie utaiona tuu imetokanmwaka huu mwezi wa nne sijui tarehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…