Wezi wamekuja na hii style tena

Mripoti nida au nayeye line yake haijasajiriwa
 
Mimi Nikajua ni wezi wa majumbani,
kumbe matapeli.
Tena matapeli wa sms.

Tapeli wa njia hiyo sijui aseme nini ndiyo afanikiwe dhumuni lake kwangu.
 
Kama walivyo wauza upako na miujiza, hawa matapeli acha wa ruhusiwe kufanya hizo kazi zao kwani soko la wapenda kutapeliwa ni kubwa sana. Muhimu na lazima wasajiliwe.
 
Vipi manabii na mitume wanaouza mafuta ya alizeti,chumvi,maji,picha zao. Nilimkuta daktari kabisaa wa binadamu,tena Mmed(phys) amenunua hayo madude akitafuta ashike mimba. Alishaachwa na wanaume 2,kisa tatizo la kizazi/hanasi. Sasa yupo na bodaboda .
 
hahaaaaa kwan dokta haendi kanisan mkuu!?? hata yy pia anaamin anachoambiwa na kina mwamposa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…