kamituga
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 1,195
- 1,933
Hawa wapuuzi awachoki wanakamatwa lakin bado awasikii leo nimemkomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wapuuzi awachoki wanakamatwa lakin bado awasikii leo nimemkomesha.View attachment 1331223
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta line yenyewe alinunua iliyosajiliwa tayari kwa mawakala wa kusajili line.Mripoti nida au nayeye line yake haijasajiriwa
hahaaaaa kwan dokta haendi kanisan mkuu!?? hata yy pia anaamin anachoambiwa na kina mwamposaVipi manabii na mitume wanaouza mafuta ya alizeti,chumvi,maji,picha zao. Nilimkuta daktari kabisaa wa binadamu,tena Mmed(phys) amenunua hayo madude akitafuta ashike mimba. Alishaachwa na wanaume 2,kisa tatizo la kizazi/hanasi. Sasa yupo na bodaboda .
Daah hivyo ulivyomkomesha sidhani kama atarudia tena kutapeli hapo ataacha moja kwa moja nadhani huko alipo analia tu
Sent using Jamii Forums mobile app