What a coincidence !

What a coincidence !

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
777
Kuna senario fulani ilinitokea mpaka sasa hivi ninashindwa kuelewa.

Ilinitokea kama wiki 2 hvi zilizopita. Tulikuwa 3 tunatembea kuelekea stand ya bus. Tukawa tunapiga mastori ya zamani ya utotoni ya kuokota pesa. Mimi nikawa ninawaambia sikumbuki ni lin mara ya mwisho kuokota pesa.

Ila ninachokumbua nilivyokuwa mdogo tulikuwa tunatabia ya kutembea watatu. yaani mimi na marafiki zangu wawili. Siku moja tukiwa tumeongozana wa kwanza akaziruka pesa bila kuziona na wa pili yetu akaziona na kuziokota.

Tulivyofika stand tukiwa tunaongozana kutokana na upenyo wa njia mimi nikiwa katikati nikaokota elfu 10. na yule mwenzangu alie tangulia hakuziona.


  • We were all surprised .....what a coincidence !!
Hii greater thinker mnaichukuliaje?
 
Hvi binadamu tuna uwezo wa ku predict au kuzungumzia kitu kitakachotokea mbeleni...?
 
Back
Top Bottom