Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Bodies of jf, i salute you!
Usajili wa yanga kwa wachezaji wapya umesemwa sana sana!
Wapo waliosema yanga kwa Chama wamelamba dume, wapo waliosema yanga kwa Dube wamelamba dume!
Wapo waliosema kwa Boka tumelamba dume!
Lakini kijana mmoja wanamsahau ambaye mimi naona ndiye most dangerous player 🍡..
Kijana mkenya Duke Abuya ndiye the most perfect sign kwa yanga .
Tukumbuke usajiri wa max haukuzungumziwa sana kama.hawa kina chama..
But Duke anakwenda kuwa mchezaji muhimu sana pale yanga.
He is versatile player, anacheza winga ya kulia, kushoto,
Anaweza kucheza nyuma ya namba tisa, ooh man 🔥
Anakwenda kuwa max mpia mwengine pale yanga.
Ukimuhitaji afukie mashimo yanatokana na gap za kina pacome basi Duke anaweza 🔥
Ukitaka acheze kwenye flanks basi hapo ndiyo 🔥.
Zaidi Duke ana pumzi ya kutosha na uwezo mkubwa wa ku create nafasi na kuficha mpira, rejea alipokuwa singida ile na hii ihefu (singida bs).
Huu uzi utakuwa ushahidi mzuri mbeleni
Let's wait ⌚