Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Ule utulivu wa Wa Al-Jawlani kwa jicho la ndani unatoa tafsiri fulani kubwa sana.
CIA na Mossad ni back to back agents ambao malengo na operations zao ni nyingi sana.
Long term plan na short term plan zao ni hatari sana maana zina uwanja mpana na zinahisisha watu wa Kila aina kwa maslahi yao mapana.
Ni KGB/FSB anayeweza kupambana na hawa watu japo matatizo ya kiuchumi pia yameizoofisha Russia na taasisi zake nyeti.
Inawezekana malengo ya muda mrefu ya CIA na Mossad kwa Al-Jawlani yamejibu na kuleta matokeo chanya wakati muafaka ambapo Israeli alikuwa kitanzini dhidi ya Hizbollah na Iran, kama ni kweli basi hii itakuwa karata muhimu sana kwa mazayuni na USA na hasara kubwa sana kwa Iran, Hizbollah, Palestina, Syria nk. Tunasema the manipulation of middle east is going well.