Hahahaha! Nilijisahau Preta, nilivofika home si ndo nkagundua nnavyo kwenye wallet lol. Ila naamin mboga ilikuwa tamu manake maharage hata bila mafuta yanalipa. Sipati picha ulivowalisha watu ugali maharage sa nane za usiku.ni nini kuondoka na vitunguu vyangu mae....nikaenda kupika bila vitunguu......?
Hahahaha! Nilijisahau Preta, nilivofika home si ndo nkagundua nnavyo kwenye wallet lol. Ila naamin mboga ilikuwa tamu manake maharage hata bila mafuta yanalipa. Sipati picha ulivowalisha watu ugali maharage sa nane za usiku.
Hahaha! Uliwawezaje sasa!.... Siku ingine hakikisha unapika mapema bana, sio vizuri kutesa wenzio.walikomajeeee.....mtu akitaka kutema....kibao.......wasinibabaishe bana.......
Hahaha! Uliwawezaje sasa!.... Siku ingine hakikisha unapika mapema bana, sio vizuri kutesa wenzio.
Yeah ni kweli bana, kongamano la kina mama ni muhimu zaidi. Hivi kutakuwa na kongamano jingine siku za karibuni au ndio tunasubiria safari ya tanga?wanatakiwa wanisikilize.........nikiwa na kongamano la kina mama wanatakiwa waelewe.......