What a weekend

What a weekend

....and my favourite formula one driver won today

 
Senegal wameingia fainali. Halafu kuna watu walikuwa wanashangaa Tz kufungwa na Senegal! Timu ingine kundi la Tz ni Algeria nayo inacheza semi mechi ijayo na inaweza kuingia fainali. Tz ilipangwa kundi gumu na tumerudi home kwa mbiiinde
 
Back
Top Bottom