Ila ilikuwa mechi kali jamani.Finally Djokovic won
Djokovic has done it again.Jamani kachukua majani kala.Ila ilikuwa mechi kali jamani.
Yaani Wimbledon wamenifanya nisiangalie Sénégal vs Tunisia kwa asilimia mia.Senegal tunaongoza 1-0
Hapana ya dogoHio Fanta ndio yako?
Mambo yamejikuza yenyewe,haaaaaNimeomba kwenda kuangalia mpira acha kukuza mambo mkuu.