What age do you let your children out alone?

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Do you think it is ok to let a 9 year old to the shop/park/ friends??
 
Do you think it is ok to let a 9 year old to the shop/park/ friends??
Kwangu at this age (9 yrs) no kabisa. May be I am too proctective. Ila kwa waswahili mtoto wa miaka 5 ni mkubwa anatumwa na wengine hata wadogo zaidi tunawaona wanazurura hasa siku za Eid bila uangalizi wa wakubwa. Yaani utakuta katika kundi mtoto wa 8 or 9 years ndiyo kiongozi halafu ana kundi la watoto kama zaidi ya kumi. Sifurahii sana hii tabia na ndiyo maana ule msiba wa Edi Temeke last year or so watoto wasiokuwa na uangalizi ndo walikuwa victims wengi. Hivi ile bar bado ipo? Na kama ipo inafanya kazi? Sitashangaa nikisikia mwenye bara hakukutwa na hatia kwa mwenendo wa majaji wa sifa zile alizotupatia Mh.. TL.
 
Do you think it is ok to let a 9 year old to the shop/park/ friends??

No. BIG NO.

Never ever let a 9yr old walk alone to the store or anywhere for that matter.

There are too many sexual predators out there.
 
No. BIG NO.

Never ever let a 9yr old walk alone to the store or anywhere for that matter.

There are too many sexual predators out there.

Bwanchuchu= Nyani Ngabu
 
Hapa mimi naona mnaongelea watoto wa masaki,oysterbay,mikocheni na mbezi beach.
Nendeni uswazi mjionee,kwanza kulala kwa zamu kisa chumba kimoja wazazi wakitaka kujinafanasi watoto mnaambiwa mkacheze rede hata kama ni saa tatu usiku,kuna cha miaka tisa hapo. Kaangalie vibanda vya gongo huko keko makurumbasi,7 year olds ndo wanawasaidia mama zao kuosha vifanta.
 

16yrs old...sio 9 maana Boflo mhhh!
 
Kuanzi miaka 14 maybe. Akiwa miaka 10 unaweza muachia huku ukimuangalia without them knowing ili aanze kujenga confidence ya kuwa peke yake nako ni kwa short distance
 
Do you think it is ok to let a 9 year old to the shop/park/ friends??

Inategemea amelelewa mazingira gani! Kwa familia bora, umri huo ni mdogo mno kuwa huru kutembea hovyo. Ila kwa wale waliolelewa uswahilini, umri huo ni mkubwa kwa mtoto kutumwa na kusaidia kazi za nyumbani.

Ila all in all, kwa kweli umri huo ni mdogo sana kumuacha mtoto kuwa huru kwenda sehemu bila ya uangalizi wa mtu mzima. Kwa walio uswahili nafikiri hufanya hivyo kwa sababu ya hali ya uchumi kuwabana na kujikuta wanalazimika kuingiza watoto wao kwenye shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwatuma huku na huko. Si jambo jema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…