Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu at this age (9 yrs) no kabisa. May be I am too proctective. Ila kwa waswahili mtoto wa miaka 5 ni mkubwa anatumwa na wengine hata wadogo zaidi tunawaona wanazurura hasa siku za Eid bila uangalizi wa wakubwa. Yaani utakuta katika kundi mtoto wa 8 or 9 years ndiyo kiongozi halafu ana kundi la watoto kama zaidi ya kumi. Sifurahii sana hii tabia na ndiyo maana ule msiba wa Edi Temeke last year or so watoto wasiokuwa na uangalizi ndo walikuwa victims wengi. Hivi ile bar bado ipo? Na kama ipo inafanya kazi? Sitashangaa nikisikia mwenye bara hakukutwa na hatia kwa mwenendo wa majaji wa sifa zile alizotupatia Mh.. TL.Do you think it is ok to let a 9 year old to the shop/park/ friends??
Do you think it is ok to let a 9 year old to the shop/park/ friends??
Bwanchuchu= Nyani Ngabu
Kwangu at this age (9 yrs) no kabisa. May be I am too proctective. Ila kwa waswahili mtoto wa miaka 5 ni mkubwa anatumwa na wengine hata wadogo zaidi tunawaona wanazurura hasa siku za Eid bila uangalizi wa wakubwa. Yaani utakuta katika kundi mtoto wa 8 or 9 years ndiyo kiongozi halafu ana kundi la watoto kama zaidi ya kumi. Sifurahii sana hii tabia na ndiyo maana ule msiba wa Edi Temeke last year or so watoto wasiokuwa na uangalizi ndo walikuwa victims wengi. Hivi ile bar bado ipo? Na kama ipo inafanya kazi? Sitashangaa nikisikia mwenye bara hakukutwa na hatia kwa mwenendo wa majaji wa sifa zile alizotupatia Mh.. TL.
Do you think it is ok to let a 9 year old to the shop/park/ friends??