Asilimia kubwa ya wanadamu sio ma genious nikiwemo mimi genious ni mtu mwenye akili kuanzia IQ 130 Kwenda juu sio mchezo kabisa mimi nadhani nina 80 iq ,ila nimebahatika kuwa karibu na ma genious wengi huwa rafiki zangu nilivyo wachunguza mimi huwa wengi wanatabia hizi
1.Hukaa mbali na mapenzi hasa wa kiume wengi hawaoi na wakidate hawawi serious na mahusiano mambo ya i miss u sijui love u hawawezi.
2.Huwa hawapendi mambo ya dini wengi hata nyumba za ibada hawaendi ila hawapingi lolote,kifupi mambo ya dini yanawaboa.
3.Wanaongea peke yao na kupenda upweke ,labda sababu wanaona wengi hawawaelewi
4.Huwa wako rough ila wasafi,utakuta kafuga mindevu ,kama ni demu unakuta ni pisi kali ila inavaa manguo yasiyo sex masurualy makubwa mara mabuti etc maana huwa hawajali sana wanaonekanaje
5.wanapenda kula kucha au kama hali basi huwa hawezi kaa sehemu moja kama uko baa angalia wale jamaa wanakuwaga counter laki kila saa anatembea tembea
nimechoka kutype