Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Hivi Kenya mnaumarufu wa nini duniani. I mean if Kenya ikifutwa leo kwenye ramani ya dunia, kuna nini kitapunguwa duniani???Wabongo mmeyandika mengi lakini kwa ufupi ni kuwa amna jambo lolote ambalo linaweza kumfanya maarufu... hivi vitu mnavyo sema ni vya kawaida,eti mnajulikana kwa amani???na nchi kama botswana itajuilkana kwa??? kiswahili? kila mtu anafahamu ni cha kenya duniani nawaomba mtie bidii mtambulike kwa vitu vya maana na muache uvivu na wivu vitu ambavyo mnatambulika sana.