What Are Tanzanians good at or renowned for ?Je watanzania wanatambulika kwa jambo gani duniani?

Hivi Kenya mnaumarufu wa nini duniani. I mean if Kenya ikifutwa leo kwenye ramani ya dunia, kuna nini kitapunguwa duniani???
 
Being a citizen is not a quest for fame, its not a beuty contest or something for historians to "remember" Tanzanians are simply building their country and their culture. Those intrested in "remembering" can choze whatever fits their imaginations
una akili pungufu sana, you are "simply building your country and culture" lakini hamtambuliki kwa chochote so its even means you are busy bodies as that building and culture no one can tambua it.
 
una akili pungufu sana, you are "simply building your country and culture" lakini hamtambuliki kwa chochote so its even means you are busy bodies as that building and culture no one can tambua it.
Its very sad to have a mentality like yours..Rational people go about their own business not with the hope that some people will notice them or give them fame.they do things for their own benefit
Irrational people do stuff ndio watu wa "watambue"
You live in a sick mentality
 
you have nothing to show Sick mentality is pulling out 4 of your athletes and 10 official from Asaba Nigeria citing security, seriously ???
 
uchawi na ushirikina...picha inayokuja akilini baada ya kuskia neno tanzania ni watu wanaowawinda albino kwa fikra za kijinga za kutafta utajiri...
 
Tanzania haijulikani kwa chochote isipokuwa hivi maajuzi wameanza kujulikana kidogo kwa tourism baada ya Magufuli kuingia ofisini. Kabla ya Magufuli, Tanzania haikuwa inajulikana kwa chochote
Ni nini hasa kinachokufanya uamini Tanzania hivi sasa inajulikana kwa utalii kwa sababu ya Magufuli?!
 
Uliona rais Mnagagwa alikuja kututembelea kabla ya uchaguzi, bado hujui tu watanzania ni maatufu kwa sifa ipi?!
 
Hivi Kenya mnaumarufu wa nini duniani. I mean if Kenya ikifutwa leo kwenye ramani ya dunia, kuna nini kitapunguwa duniani???
Swali lako ni sawa mno!. Kenya ikifutwa kwa ramani ya dunia saa hii, vyombo vya habari kote duniani vitamtolea rambirambi kwa aliyekuwa raisi wa marekani Barack Obama ambaye chimbuko lake ni huku. Lupita nyong'o gwiji wa sanaa vile vile atapewa pole. Ulimwengu utakuwa umempoteza mshikiliaji wa rekodi bora kwa ufungaji wa raga Collins Injera. Wanariadha maarufu watakuwa wametoweka, ama kweli hamna mwanariadha huridhika ameshinda kikweli Kwenye shughuli ya riadha ambayo wakenya hawajashiriki. Kule Australia yule mwanadada wetu anayetikisa siasa huko atakuwa amepoteza nyumani. Bila kumaliza yote, mwisho watasema EA economic super power haipo tena.
 
wakenya wakikumbuka Tanzania wanatetemeka tu,kama huyo juha eti anauliza watanzania ni wazuri kwenye nini
Muulize MK254 atakupa mawili matatu
 
We r known for feeding hunger infested Kenya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…