wanadhani hii ni tz ya 90s...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengi wepi hao, una proofs? Hamna hiyo kitu tena, ilikuwa zamani. Tatizo wakenya mmestuck kwenye nadharia za zamani kuhusu Tz. Bakini hapo hapo.
.....alafu baada ya hayo yote akakuuliza, where exactly is Tanzania??? [emoji1]Kipindi nipo ng'ambo someone asked me.. what Tanzania is famous for?? Nikamuuliza what Africa is famous for?? Akanijibu all the bad stuff.. hunger, political conflicts, refugees, diseases etc..
Nikamwambia Tanzania is not famous because it doesn't have any of those.. we don't make headlines because we don't have post elections conflicts or terrorism within our borders and we don't register hunger (unlike most of our neighbors north and west
Naye akamjibu..Mimi nipo Africa na najua kutumia google maps, wewe uko marekani hajui? kwani masomo ya america ni duni kiasi gani?.....alafu baada ya hayo yote akakuuliza, where exactly is Tanzania??? [emoji1]
Hili lina ukwel kabsa...labda niongezee maarifa kwann wadada weng wa kiKenya wanapenda sana Watz au ni rahisi kukubali kuingia nao kwny mahusiano??Tunatambulika kwa kuwaoa wakenya...
Jieleze tu kwa kikikuyu, hueleweki, si wote walikuwa 'ng'ambo'?Naye akamjibu..Mimi nipo Africa na najua kutumia google maps, wewe uko marekani hajui? kwani masomo ya america ni duni kiasi gani?
Well I take that as a joke [emoji1] [emoji1] [emoji1].....alafu baada ya hayo yote akakuuliza, where exactly is Tanzania??? [emoji1]
Let me rephrase:Jieleze tu kwa kikikuyu, hueleweki, si wote walikuwa 'ng'ambo'?
Offcourse it is! Hahaa! [emoji1]. Big up for not being all psycho about it. Some guy didn't get it.Well I take that as a joke [emoji1] [emoji1] [emoji1]
The simple message(joke) reached the intended destination. You can move along now.Let me rephrase:
Naye akamjibu..Mimi nimezaliwa na kusomea Africa na najua kutumia google maps, wewe uko marekani na umesomea marekani haujui? kwani masomo ya america ni duni kiasi gani?
Well I take that as a joke [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naah bro. Sina mafeelings. Ni vile tu umeweka tamko lako kidhihaka hivi. Hamna ubaya na uweusi.ume-catch ma-feelings brother.. [emoji23][emoji23][emoji23]
anyway kuwa mweusi sana sio kasoro ndio rangi yenyu mungu amewapea.
Note the word "we always deal with quietly" by H.E. JMK. Kama nilivyosema sisi bado hatujajua kupiga kelele kama watani zetu hawa. Sisi ni wakimya sana na tunafanya mengi kimya kimya. Unfortunately, most of the times the loudest get the most attention!wakenya ni wasahalifu sana,hatutoacha kuwakumbusha kuhusu uzuri wa tz na mambo makubwa yanayoitambilisha nchi yetu nje ya mipaka yake.
mojawapo ni hili[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 828861View attachment 828862
So wewe ni mweupe?ume-catch ma-feelings brother.. [emoji23][emoji23][emoji23]
anyway kuwa mweusi sana sio kasoro ndio rangi yenyu mungu amewapea.
We r good at feeding u! Ask WFP will tell u![Hamna cha kulishwa chifu,, tunanunua ili tule wala hamtupi cha msaada]
Kipindi nipo ng'ambo someone asked me.. what Tanzania is famous for?? Nikamuuliza what Africa is famous for?? Akanijibu all the bad stuff.. hunger, political conflicts, refugees, diseases etc..
Nikamwambia Tanzania is not famous because it doesn't have any of those.. we don't make headlines because we don't have post elections conflicts or terrorism within our borders and we don't register hunger (unlike most of our neighbors north and west [emoji6][emoji6])..
Nikamuuliza what do you like about Africa.. akanijibu warmth of its people.. wildlife, culture etc.
Nikamwambia Tanzania has all of them..
Hata majirani mnajua you can't beat Tanzania when it comes to hospitality... And we are proud of having it.[Mtanzania na ukarimu, sikumbuki kipindi nikitembea uko. Mlicho nacho ni chuki braza, hampendi raia wa kigeni haswaa wanaoishi nchini]
uchawi na ushirikina...picha inayokuja akilini baada ya kuskia neno tanzania ni watu wanaowawinda albino kwa fikra za kijinga za kutafta utajiri...