What are the key banking challenges in tanzania

Smarter

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
528
Reaction score
114
Wakuu na wasomi wabobezi, Najaribu kufikiri nini cha kuandika katika kukamilisha andiko la Masters katika maswala ya Fedha. nimependa kujua ninini key challenges zinazopata Banks za tanzania.
 
Mkuu wala usipate shida pale UDSM na hata Mzumbe{sina hakika sana na vyuo vingine juu ya kitabu hiki} library nenda ka google au mtumie mwanafunzi wa hapo kama wewe hunakibali akutafutie kitabu kilichoandikwa na Dr.ulingeta mbamba wa udism kitakua msaada mkubwa sana kwako pia huo utaona mambo kama techknologi jinsi ilivo chalenji n.k.
All the best.
 
Poa mkuu. mwambie asisahau na changamoto ya wafanyakazi wa bank kuiba fedha za wateja
 
Nenda google utapata kila kitu Tz sie ni mabingwa wa kucopy na kupaste hakuna plajearism tz ni full kupeta
 
Back
Top Bottom