Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
ur prayer has been answered. here I am. alleluyah!
akaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ur prayer has been answered. here I am. alleluyah!
si unajua ankal, wanaume waaminifu darsalama tumebaki wachache sana. wewe haumo kabisa kwenye list. na husninyo hii offer akipoteza kaz kwakeAnkal@ work
Mkuu unayowaza ni mabaya nini? Or you are trying to reflect the past imenibidi nicheke ulivyosema "I bet I'm a bad husband"...Yuk! hapa nimetoka ZERO kabisa.
I bet, am a bad husband, kila nikiwaza jibu linanirudia mimi.
NO COMMENTS.
Ankal mimi na wewe huwa tunaelewa sana ila ikifika hapo ndio huwa natamani nikuchanganyie Chloride Exide siku moja kwenye maji l.o.lsi unajua ankal, wanaume waaminifu darsalama tumebaki wachache sana. wewe haumo kabisa kwenye listi. na husninyo hii offer akipoteza kaz kwake
Ahaaa ahaaa BJ bwana...
mkuu mbu bora wewe umekuwa mkweli. hawa wengine wanaishi kwenye movie ya titanic. sjui caring, sjui love, sjui faith wakati hivyo vitu hata kwenye dikshineri vinataka kutolewa kwavile haviexist tena kwenye real life....Yuk! hapa nimetoka ZERO kabisa.
I bet, am a bad husband, kila nikiwaza jibu linanirudia mimi.
NO COMMENTS.
Mkuu unayowaza ni mabaya nini? Or you are trying to reflect the past imenibidi nicheke ulivyosema "I bet I'm a bad husband"
ankal hapo bado nimekuwekea tinted kidogo na kukupaisha, adhawaizi ankal CV yako inahitaji scientific editing ndio imuimpress BJ. khaa!Ankal mimi na wewe huwa tunaelewa sana ila ikifika hapo ndio huwa natamani nikuchanganyie Chloride Exide siku moja kwenye maji l.o.l
mkuu mbu bora wewe umekuwa mkweli. hawa wengine wanaishi kwenye movie ya titanic. sjui caring, sjui love, sjui faith wakati hivyo vitu hata kwenye dikshineri vinataka kutolewa kwavile haviexist tena kwenye real life.
mkuu mbu bora wewe umekuwa mkweli. hawa wengine wanaishi kwenye movie ya titanic. sjui caring, sjui love, sjui faith wakati hivyo vitu hata kwenye dikshineri vinataka kutolewa kwavile haviexist tena kwenye real life.
Dont tell me you are in love with him already, I know for sure you cannot resist what you feel l.o.lI'm being honest madai, ha ha..I'm gonna make a good wife🙂))
hu is that kaka in your profile?!! du!!
Love is in the AYYYYYEEEER!!!Sisi tusionao je????
BJ hii dunia na majaribu ya ki leo unaweza ukawa na hizo ingredients zote na still ukachemsha. hivi kweli dunia ya leo unaweza ukajiamini kusema kwamba wewe ni honest? i doubt!They do exist ila huwezi pata ingredients zote!..like me I'm super caring, honest, understanding, adventurous, live and supportive...at same time nina weaknesses zangu ambazo partner wangu inabidi azi-accomodate!!
They do exist ila huwezi pata ingredients zote!..like me I'm super caring, honest, understanding, adventurous, live and supportive...at same time nina weaknesses zangu ambazo partner wangu inabidi azi-accomodate!!
Poa wewe endelea tuone kama ukija nitakupa tena verse za kuwakamatia mabinti wa kitaaankal hapo bado nimekuwekea tinted kidogo na kukupaisha, adhawaizi ankal CV yako inahitaji scientific editing ndio imuimpress BJ. khaa!
dah! mkuu inaonekana kuna bom ndani ya hii sredi. acha niipitie kidogo....Umeona ee? kuna jamaa leo kaweka post ya USWAZI https://www.jamiiforums.com/mahusia...fumanizi-hili-linaweza-kukufundisha-kitu.html ndio kabisaa mapenzi yamenitumbukia nyongo!...
Mbu sijawahi kuona ukilalamika definitely this week has not been gud to you, hebu mueleze BJ labda anaweza ku-accomodate what's lacking...mnh, angalau BJ umekuwa mkweli. Ingawa mnh, ukishakuwa na hizi Qualities; Honest, Understanding and supportive, Iweje tena uwe na weakness? pls usinijibu vibaya, leo najiskia ku commit suicide tu!
dah! mkuu inaonekana kuna bom ndani ya hii sredi. acha niipitie kidogo.
Ndio hivyo Mbu this is the world we are leaving, but we can not conclude that the same thing might happen to you sema tu ndio inakufanya uchoke kabisa na uone kama haina maana, hapo ndio umenikumbusha wimbo wa JOE THOMAS- LOVE DON'T MAKE NO SENSETaratibu bana. Mimi sredi hiyo imeniondolea kabisa maana ya kuishi dunia ya mapenzi.
Acha tu ni sign out JF sasa...
Nitarudi kesho.