Mbu sijawahi kuona ukilalamika definitely this week has not been gud to you, hebu mueleze BJ labda anaweza ku-accomodate what's lacking
Love is in the AYYYYYEEEER!!!:love::hug:
heheheeh dah! imebidi niumize mbavu! eniwei staki niende ofutopik bana lakini senks kwa kunifulahisha.Should get rid of that.......LOVE IS NOWHEYERRRRR:disapointed:
Ahaa ahaaa ahaaa Love is there bana...Koncking on the door...wewe ndio hautaki kufungua mlangoShould get rid of that.......LOVE IS NOWHEYERRRRR:disapointed:
Dont tell me you are in love with him already, I know for sure you cannot resist what you feel l.o.l
BJ hii dunia na majaribu ya ki leo unaweza ukawa na hizo ingredients zote na still ukachemsha. hivi kweli dunia ya leo unaweza ukajiamini kusema kwamba wewe ni honest? i doubt!
...mnh, angalau BJ umekuwa mkweli. Ingawa mnh, ukishakuwa na hizi Qualities; Honest, Understanding and supportive, Iweje tena uwe na weakness? pls usinijibu vibaya, leo 'najiskia ku commit suicide' tu!
Mimi nimegonga thanks tu maana nimeshindwa hata kukomenti kila nachofikiria nikomenti nashindwa niandike nini...khaaaa? nikipigwa kibuyu? Hapana bana, heri ya nusu shari...naona leo ziraili hachezi mbali na mimi.
Ijumaa ya leo nimelichukia kabisa jukwaa la Mapenzi...ile sredi imeniumiza sana, hasa jamaa alivyorudi chumbani kumbembeleza mtoto.
Am out.
heheheeh dah! imebidi niumize mbavu! eniwei staki niende ofutopik bana lakini senks kwa kunifulahisha.
Ahaa ahaaa ahaaa Love is there bana...Koncking on the door...wewe ndio hautaki kufungua mlango
I got no husband, nor bf, ooh! Poor me!
Yeah, mimeoa almost a decade ago na nina katimu kangu ka mpira... its a nice journey to an island in the moon. lots of adventures, sight seeing and beautiful worldHapana. Nina mtoto..umeoa mwenzangu?
...khaaaa? nikipigwa kibuyu? Hapana bana, heri ya nusu shari...naona leo ziraili hachezi mbali na mimi.
Ijumaa ya leo nimelichukia kabisa jukwaa la Mapenzi...ile sredi imeniumiza sana, hasa jamaa alivyorudi chumbani kumbembeleza mtoto.
Am out.
Yeah, mimeoa almost a decade ago na nina katimu kangu ka mpira... its a nice journey to an island in the moon. lots of adventures, sight seeing and beautiful world
Karibu sana kilabuni
mkuu weye wataka yule wa hewala baba?Mi anayekubali tu kimsingi kuwa wanaume "ndivyo tulivyo"
mkuu weye wataka yule wa hewala baba?
Try to re-check againI checked but all I found was a bunch of LIES lying on the floor!
Amen to that ChairmanMi anayekubali tu kimsingi kuwa wanaume "ndivyo tulivyo"
Amen to that Chairman
acha kujifanya hutaki! njoo lab. haraka kabla sijachange mindakaaaa