BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
ankal ushakamilisha list au bado?
dah! hii post ingekuwa imetoka kwa wazembe wengine wala nisingejali, lakini inatoka kwa her majesty BJ acha niseme senks bana!Ooh nilisahau... mtu mcheshi kama wewe ni muhimu sana mana you can make someone forget all problems/worries kwa kumchangamsha, uko mcheshi na friendly..my wifi must be smiling all the time🙂))
Ankal bado listi inaendelea, unafikiri inaisha hiyo??! ni infinity.....ha ha
dah! hii post ingekuwa imetoka kwa wazembe wengine wala nisingejali, lakini inatoka kwa her majesty BJ acha niseme senks bana!
hapo red samtaimu kama haujaacha hela mezani hata utoe joke gani unakuta mwenza kavimba kama mgombea alokosa kura. khaa!
acha kujifanya hutaki! njoo lab. haraka kabla sijachange mind
Aisee hii posti inapaswa igongewe thanks elfu moja ankal kloro acha wivuleo naenda na the finest kumpa maujanja ya kuwa saksesful.
Nimekaa table number 5 on ur left side check with the waiter on the reservation bookleo naenda na the finest kumpa maujanja ya kuwa saksesful.
I am on my way to venice beach u are welkumYour Majesty (inanikumbusha tamthilia ya 'The Tudors)..ha ha
Bwana eeh muhimu kuchangamsha,akili inatulia pia..You're incredible a good entertainer!!..weekend njema!!
leo naenda na the finest kumpa maujanja ya kuwa saksesful.
khaaaaa! :A S 13::A S 13:Aisee hii posti inapaswa igongewe thanks elfu moja ankal kloro acha wivu
Ankal@work inabidi ukubali kuwa nimekufunga kwa free kickkhaaaaa! :A S 13::A S 13:
anafurahisha baraza tu huyu, huku PM kinalia lia kinaomba razi eti hakikumaanisha kilikuwa kinamzingua ze finest tu.Ankal@work inabidi ukubali kuwa nimekufunga kwa free kick
Ankal acha fitina basianafurahisha baraza tu huyu, huku PM kinalia lia kinaomba razi eti hakikumaanisha kilikuwa kinamzingua ze finest tu.
hivi unazani natania? wee endelea kushika pembe tu bana. halaf ile signecha ya AD nilizani inakuhusu wewe ujue. kumbe uko hai?, sasa alimaanisha nani?Ankal acha fitina basi
Dah! Aisee bora nikunyweshe ile Chloride Exide.hivi unazani natania? wee endelea kushika pembe tu bana. halaf ile signecha ya AD nilizani inakuhusu wewe ujue. kumbe uko hai?, sasa alimaanisha nani?
Ngoja nikutafutie wale wahuni wa tandale kwa mtogolehivi unazani natania? wee endelea kushika pembe tu bana. halaf ile signecha ya AD nilizani inakuhusu wewe ujue. kumbe uko hai?, sasa alimaanisha nani?
Dah! Aisee bora nikunyweshe ile Chloride Exide.
leo nina kibarua cha kupitia masredi yote ya JF na kuedit. sisi mods tuna kazi kweli aisee. ankal wewe hata ukitukana sikuban, unaweza kujaribu ukathibitisha mwenyewe.Ngoja nikutafutie wale wahuni wa tandale kwa mtogole
Nimekaa table number 5 on ur left side check with the waiter on the reservation book
khaaaaa! :A S 13::A S 13:
Jamani hus vipi tena si ulisema niko peke yangu ?nishakuona, dah! Nilikutafuta kweli. mwambie kloro ajinyonge.
Jamani hus vipi tena si ulisema niko peke yangu ?