The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
- Thread starter
-
- #121
Aisee hii itakuwa imekula kwako na sio kwangu.ooops!!
Namdanganya danganya TF.
Tf usisome hapa.
Upo wapi nikufate?
Bata kama hizi sio za kukosa hebu fanya fasta uje RUNAWAY LOUNGENyie Kloro na TF mpo JF friday night ? kweli mko addicted ngoja niwahi San Cirro.
Aisee hii itakuwa imekula kwako na sio kwangu.
I am on my way to venice beach u are welkum
Tafsiri plizi lugha ya malkia elizabeth nguma bana
hahaha,hii mara ya pili nikiona unaomba tafsiri bado hujatendewa haki dena?
What are the qualities that, in your view lie behind the success of your husband, wife or fiancee in life be it in business or relationship??
Mbu wajua umenifurahisha sana na jibu lako hili hahahaha nakupa offer ya ugali wa muogo wa kulumangia samaki ,hv great weekend...OK, ngoja nijaribu tena.
Ewe Mwenyezi Mungu unisaidie,
- mpole, na muaminifu.
- mwenye Upendo, huruma na muaminifu.
- mkweli, na muaminifu.
- muadilifu, na muaminifu.
- mtiifu, na muaminifu.
- mcha mungu.
Amen. 😛ray2:
Mbu wajua umenifurahisha sana na jibu lako hili hahahaha nakupa offer ya ugali wa muogo wa kulumangia samaki ,hv great weekend
Mhh! I will contact you need to know where were you? Simu yako ilikuwa imezimwaMmmhhh
Ntakupa jibu..
Baaadaaayeeee..
Nisamehe dear ndo nimeona
hii thread... lakini waelewa nilikuwa wapi
Ahaa ahaa u just made my day maana MUAMINIFU imewekewa msisitizo....OK, ngoja nijaribu tena.
Ewe Mwenyezi Mungu unisaidie,
- mpole, na muaminifu.
- mwenye Upendo, huruma na muaminifu.
- mkweli, na muaminifu.
- muadilifu, na muaminifu.
- mtiifu, na muaminifu.
- mcha mungu.
Amen. 😛ray2:
Dena hebu acha uchokozi basiHii lugha ya Elizabeth malkia ngumu bana TF hajanitendea haki kabisa
Hebu mtafute Kalonzo Musokya na wale wenzake wengine kabla hawajapelekwa THE HAGUE.Tafsiri plizi lugha ya malkia elizabeth nguma bana
Dena hebu acha uchokozi basi
Leo tarehe 3 ule mpango vipi?Uchokozi gani na mie sijaelewa
My Pleasure lolIt was nice meeting you @Venice na leo weather ilikuwa nzuri kweli🙂)
I got no husband, nor bf, ooh! Poor me!