What are the list of things that makes your wife & husband or fiancee successful??

What are the list of things that makes your wife & husband or fiancee successful??

Mmmhhh
Ntakupa jibu..
Baaadaaayeeee..

Nisamehe dear ndo nimeona
hii thread... lakini waelewa nilikuwa wapi
 
What are the qualities that, in your view lie behind the success of your husband, wife or fiancee in life be it in business or relationship??

...OK, ngoja nijaribu tena.

  • mpole, na muaminifu.
  • mwenye Upendo, huruma na muaminifu.
  • mkweli, na muaminifu.
  • muadilifu, na muaminifu.
  • mtiifu, na muaminifu.
  • mcha mungu.
Ewe Mwenyezi Mungu unisaidie,
Amen. 😛ray2:
 
...OK, ngoja nijaribu tena.

  • mpole, na muaminifu.
  • mwenye Upendo, huruma na muaminifu.
  • mkweli, na muaminifu.
  • muadilifu, na muaminifu.
  • mtiifu, na muaminifu.
  • mcha mungu.
Ewe Mwenyezi Mungu unisaidie,
Amen. 😛ray2:
Mbu wajua umenifurahisha sana na jibu lako hili hahahaha nakupa offer ya ugali wa muogo wa kulumangia samaki ,hv great weekend
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu wajua umenifurahisha sana na jibu lako hili hahahaha nakupa offer ya ugali wa muogo wa kulumangia samaki ,hv great weekend

waooow,...thanks 1stLady, ngoja nikimbilie daladala kabla 'mchana mwema' haujapita.
 
Mmmhhh
Ntakupa jibu..
Baaadaaayeeee..

Nisamehe dear ndo nimeona
hii thread... lakini waelewa nilikuwa wapi
Mhh! I will contact you need to know where were you? Simu yako ilikuwa imezimwa
you have an explanation to give
 
...OK, ngoja nijaribu tena.

  • mpole, na muaminifu.
  • mwenye Upendo, huruma na muaminifu.
  • mkweli, na muaminifu.
  • muadilifu, na muaminifu.
  • mtiifu, na muaminifu.
  • mcha mungu.
Ewe Mwenyezi Mungu unisaidie,
Amen. 😛ray2:
Ahaa ahaa u just made my day maana MUAMINIFU imewekewa msisitizo.
 
Back
Top Bottom