Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Lakini naona na raia wao wamo humo kwenye ajali. Ina mana taaarifa haikuwafikia?Kama security alert was about Oromia mbona wametoa specific intel kwa wazungu wasiende Bole airport on 10th March. Mbona wakuwe specific date and time? Sisi sio wajinga.