kwa kutumia Logic, inaweza kuwa true au false.
Sababu kubwa za wanawake kuwapenda wanaume watu wazima (sio wazee km ulivyosema):
1. Mtu mzima mwenye busara zake (sizungumzii yale majitu yasiyotumia busara), huweza kuongea kwa umakini, na wanajua jinsi ya kumtunza lady, na watu hawa huvutiwa na hawa malady kwa kuwa wanaonekana bado sweet. sasa hapa pia Lady lazima awe ni yule aliye makini (siyo kicheche), yaani naye ametulia, hapo ngoma huwa imematch- na akikuta huyo mtu mzima Jogoo halazi shingo ndio huzidi kuchanganyikiwa.
2. Mie kwa mtizamo wangu, wanawake mwenye busara zao hawakimbilii pesa sana au utajiri, bali tabia ya huyo partner huwa ina matter zaidi. maelewano na upendo na kufahamiana vizuri. pesa huwa km nyongeza tu. mie nimeshuhudia wanawake wazuri sana wameolewa na wazee ambao wana vipato vya wastani tu na si matajiri saana. lakini wanapewa upendo.
3. wanawake wengi wanapenda SECURITY, usalama wa ndoa zao kutoingiliwa na Vicheche, wazee wanatumia fursa hii kuwalinda sana, hata km watakuwa wanatoka kimachale kugonga nje, wako makini kuzidi vijana wa leo wenye papara.
wazee huwa na strategy kali sana hata km wana vimada nje, huweka mikataba mikali na vimada, na huwa na schedule maalum siyo mambo ya vijana ya kurushiana vyocha, mara missed call etc.
wazee hufanya mambo yao kwa mahesabu makali kutokana na experiance zao za nyuma, na hivyo huweza kuyateka mawazo ya young ladies kwa urahisi.