Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Sweet K are you giving him the details or just bragging about ukubwa wako... come on K do the needful...
baby, that is done already......:israel:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sweet K are you giving him the details or just bragging about ukubwa wako... come on K do the needful...
Copy thatam around, am about to go and pick her....now Son, do what you does best...go and get HIM to the cocktails and the like, while me and Asha are doing the needful. Got it son?
Asha D K has gone to the hide out or what???
baby, that is done already......:israel:
Licha ya money pia hawa watu wazima wanajua wafanye nini mwanamke afike kuleeeeeee kibo na mawenziMoney talk and care no else!!That is it!
una hakika?mimacho wameitoa kwenye noti tu n nthin else
...security-financially
....kuna tendency pia ya kuamini,kuwa ameshacheza na wengi amefanya mengi so akiwa na wewe atleast atatulia na wewe,sio kama vijana ambao bado kutwa wako hunting,leo kaona mnene anamtaka kesho akiona mwembamba anamtaka basi balaaa tupu...
Na mziki wao hauna purukushani mwanawane, kamanyola bila jasho lakini mnafika muondapo...security-financially
....kuna tendency pia ya kuamini,kuwa ameshacheza na wengi amefanya mengi so akiwa na wewe atleast atatulia na wewe,sio kama vijana ambao bado kutwa wako hunting,leo kaona mnene anamtaka kesho akiona mwembamba anamtaka basi balaaa tupu...
kwa kutumia Logic, inaweza kuwa true au false.
Sababu kubwa za wanawake kuwapenda wanaume watu wazima (sio wazee km ulivyosema):
1. Mtu mzima mwenye busara zake (sizungumzii yale majitu yasiyotumia busara), huweza kuongea kwa umakini, na wanajua jinsi ya kumtunza lady, na watu hawa huvutiwa na hawa malady kwa kuwa wanaonekana bado sweet. sasa hapa pia Lady lazima awe ni yule aliye makini (siyo kicheche), yaani naye ametulia, hapo ngoma huwa imematch- na akikuta huyo mtu mzima Jogoo halazi shingo ndio huzidi kuchanganyikiwa.
2. Mie kwa mtizamo wangu, wanawake mwenye busara zao hawakimbilii pesa sana au utajiri, bali tabia ya huyo partner huwa ina matter zaidi. maelewano na upendo na kufahamiana vizuri. pesa huwa km nyongeza tu. mie nimeshuhudia wanawake wazuri sana wameolewa na wazee ambao wana vipato vya wastani tu na si matajiri saana. lakini wanapewa upendo.
3. wanawake wengi wanapenda SECURITY, usalama wa ndoa zao kutoingiliwa na Vicheche, wazee wanatumia fursa hii kuwalinda sana, hata km watakuwa wanatoka kimachale kugonga nje, wako makini kuzidi vijana wa leo wenye papara.
wazee huwa na strategy kali sana hata km wana vimada nje, huweka mikataba mikali na vimada, na huwa na schedule maalum siyo mambo ya vijana ya kurushiana vyocha, mara missed call etc.
wazee hufanya mambo yao kwa mahesabu makali kutokana na experiance zao za nyuma, na hivyo huweza kuyateka mawazo ya young ladies kwa urahisi.