What can I do??

What can I do??

Am still thinking what to say here b'coz it's very challenging situation indeed!
Very sorry!
 
The girl whom i love so much refused me when i was 16 yrs old. Now she's coming to me with 2 babies so what can i do?

Hiiiii mwenzetu!! Kumbe hili chozi linalotiririka hapa lina maana kubwa eeh. Daaaa, baba wawili bwana. Asante kwa kutujuza.
 
Wacha akurifyuzi, wewe ulikuwa bado baby (16yrs), sasa unatosha ndo maana amerudi.
 
Hiiiii mwenzetu!! Kumbe hili chozi linalotiririka hapa lina maana kubwa eeh. Daaaa, baba wawili bwana. Asante kwa kutujuza.
limenikuta
 
basi kama hujala ni kama mtu mwenye hangover akiona supu asubuhi

full kishawishi
ukigonga hapo, zigo hilo lako
kongosho poa tu,ila wewe mpaka nakosa la kusema
 
Nahisi hii stori umetunga sio kweli,ila kama ni kweli kung'uta mzigo huo anza mbele kwani muda ule shida yako ilikuwa nini?
 
Yngekua huna hisia yoyote ungemwambia tu NO na unegeendelea na maisha. Hivi umelifikisha hapa maana yake umeshindwa kukataa. Ikiwa huna mpenzi mnginem na yeye hana, ongea nae baasi ujue anataka nini hasa. Kama atakubali uhusiano wa karibu bila ndoa kaa nae kwa nza hivo umsome. Ukiridhishwa endeleeni, usipo ridhika achaneni. Just give it a try.
Ila kua makini Excellent, anaweza akajituma kubeba mimba tena ili kukulazimisha kumuoa, so always play safe.
 
sasa we huoni ananiweka njia panda?

When at 16yrs, the Love and purpose one has is quite different from that he/she has at an older age i believe, so it depends on the purpose you had that time(when you were 16yrs) and whether you feel the same way now?!
 
Yngekua huna hisia yoyote ungemwambia tu NO na unegeendelea na maisha. Hivi umelifikisha hapa maana yake umeshindwa kukataa. Ikiwa huna mpenzi mnginem na yeye hana, ongea nae baasi ujue anataka nini hasa. Kama atakubali uhusiano wa karibu bila ndoa kaa nae kwa nza hivo umsome. Ukiridhishwa endeleeni, usipo ridhika achaneni. Just give it a try.
Ila kua makini Excellent, anaweza akajituma kubeba mimba tena ili kukulazimisha kumuoa, so always play safe.
dah sometimes mapenzi ni hisia mwali,dah,unakuta unampenda na kuwa naye huwezi,so nini inakubidi ufanye?
 
Back
Top Bottom