Sio kiingereza!! Huu ni uzi wa wote....na kama unachochote ulichosoma mwaka janatafadhali share na sisi!! Karibu mkuu..
Mkuu Kiranga kuna kitabu nimeona kwenye list yako cha ramanujan!! Huyu jamaa nlisomaga a short history of him kwenye vitabu vya chand...nahitaji kujua zaidi kuhusu yeye...unaeza nsaidia softcopy ya kitabu chake(a man who knew the infinity)?? Maana nimejaribu kugoogle nimeambulia patupu!!
I must admit I no longer read books........I only read book reviews in Newyork Times and the Guardian Uk via my android. Ensuing from this there are no itinerary excuses of why I can't read more.............and; of course, I have to appreciate that I cover more than a thousand books in a year through the eyes of others. But over the years, I have also developed a mechanism to limit the damage of over-relying upon the opinionated views of the others........the book critics, I mean.
So if I have to go through that over a "thousand books" list I run in another barrier of remembering the titles......that task becomes fuzzier and fuzzier.......so my advice to you is just peruse the book editorials from your android then you will learn more albeit in the telescopic eyes of the book editors who may be nursing some spiel interests of their own! There is this "Mike Tyson" Biography which stood out for me more than the combined reading of mine in 2013 because I love heavy weight boxing........Not the blah-blah I confronted there, though!
For those pressed for time, or just not into reading whole books, this is a great way to capture the most by reading with economy.
In my case, I hardly trust critics, as their tastes and objectivity may be rooted in factors I don't share, so I would read the NYT book review, as well as WSJ and The New Yorker, and somewhat base what I would read full length on that, with that caveat.
There I would kinda augment my sense of which books are unnecessarily bloated, which authors are repetitively going over the same things in subsequent books, which books are overrated, underrated, important to westerners but not me, worth the time reading etc.
Alter list yangu haipo kabisaa 🙁 (In the sense you know what I mean). This year Inshaallah...
Most books are repetitive but since not all of them, it gives me a reason to peruse more hoping to catch something afresh. .......and, I sadly establish the World of books never change: it is an institution of copycats who seldom learn.
So, this last year i read variety of books; from autobiography to those books written to help people in "personal growth" matters. I have read, Knight in Africa - J.K Chande, Long Walk To Freedom - Nelson Mandela, and Freedom And After - Tom Mboya. I have read "7 Habits of highly Effective people - Stephen R Covey.
Also i have read fictions, My Gal Sunday - Mary Higgins Clark.
Bila kusahau na Fundamentals to Sociology - Diana Kandel.
Roulette
Kwenye thread ya mwaka juzi nilisema nampango wa kusoma vitabu 12, hebu ngoja nione kama vilifika. Kwa kawaida napenda sana adventure books .
1.the time machine-ni fiction, ni kitabu kizuri kinachojaribu kuelezea evolution kwenye mtazamo wa use and misuse. Kinaelezea jinsi wasionacho wanaweza wageuka walionacho. Ni kizuri sana japo cha zamani.
2.king Solomon mines- hiki wengi mnakijua, macumazahn!.
3.The hobbit- niliona kusubiri movies kuta ni frustrate nikaamua nipige kitabu yaishe.
4. The game of thrones (the song of ice and fire)- ni series ya vitabu vitano, ni kizuri sana hasa sehemu za tyrion (wengi mtakuwa mmeona series yake)
5.Animal farm- kitabu cha George orwell- kipo kwa mtindo wa kuchekesha ila kina maana pan asana, kinaelezea jinsi watu wanaweza struggle pamoja na baadae kusalitiana baada ya mafanikio. Kizuri sana viongozi wa upinzani wakisoma.
6.Dune- hii ni series inahusu space adventure,ecology, science fictions na politics . ni kama vitabu 18 vingine kaandika baba(frank albert) na vingine mtoto wake.kuna watu cunning sana humo. Nimesoma vitabu kama 10.
Baada ya kusoma sana vya adventure nikajiuliza, Napata faida gani?. Nikaamua kubadilisha vitabu. Nikaanza kusoma social psychology (napenda psychology)
7.Blink the power of thinking without thinking- kitabu cha malcom gladwell. Anaeleza jinsi ambavyo binadamu tunafanya maamumuzi bila kuwa aware kwanini tunaamua vile. Mfano bongo star search huwa wanatafuta mwanamuziki lakini unaweza kuta wakachagua mtu kutokana na uzuri, confidence au swagga bila wao kujua.
8.Outliers- kitabu gladwell. Ni boonge la kitabu!. Anajaribu kujibu swali kwanini wengine hufanikiwa na wengine hushindwa. Anajibu why bill gate, why steve jobs, why Rockefeller why jews? Etc. mjasiriamali au kwa mzazi anaemtakia mema mwanae inabidi kusoma hiki kitabu.
9. The tipping point- cha gladwell. – anajaribu kujibu. How and when epidemics occurs?.
10. Predictably irrational- bonge la kitabu! . kinaeleza jinsi ambavyo tuko irrational katika decision making na mbaya zaida irrationality yetu ni predictable. Pia anazungumza jinsi makampuni yanatumia hiyo fursa kutuexploit. Kama wewe ni employer au mtu wa marketing inabidi usome hiki kitabu.
11.Confessions of economic hitman-hiki ni kitabu serious sana kati ya nilivyosoma mwaka huu. Ni dizaini yakina snowden na assange. Jamaa anaeleza jinsi WB na IMF zinasaidia mabeberu kutuexploit. Ukisoma hiki kitabu kila ukisikia WB utakuwa unahuzunika. Zamani nilikuwa nadhani USAID ni shirika la misaada humo ndo nikajua na kirefu chake!. Ningependa wabunge kabla ya kuingia bungeni iwe sharti kukisoma.
12. Nilivyoenda kuzimu na kurudi tena duniani- ni kitabu cha P. kaskasi. Kinazungumzia uchawi na habari za kuzimu. Nimesoma part one natafuta part two.
13. Yeremia, Ayubu na Ezekia navyo si ni vitabu!?.
Saa hizi nasoma BRIEF HISTORY OF TIME cha Stephen Hawking
I read Chande's book a couple of years ago. How did you like it?
Kuna sehemu alikuwa anaibonda sana Dodoma wine, juzi nikaona review ya kimataifa inaisifia Dodoma wine kama one of the wines to watch from Africa, nikasema I hope Sir Chande reads this.
Jamaa alimpa Mkapa Range Rover Vogue back in 95 kumpongeza, nikafikiri Ben atalikataa, hakulikataa.Kila nikienda Sea View nalikuta.
Kitwana Kondo kutaka kumpongeza akaambiwa atangaze gazetini.
mi naona kama bado ni mwendelezo wa kutushawishi tufanye miradi mikubwa ambayo hatutakaa kulipa madeni. pia sidhani kama nchi ambazo itahudumia zina biashara kubwa kama jinsi mradi ulivyo mkubwa.ni mradi wa kontena milioni 20 kwa mwaka wakati ukijumlisha bandari ya Djibouti, Mombasa na Dar hazifiki kontena millioni 6 kwa mwaka.pia kuna bandari za lamu na Tanga zinajengwa!. naona wale jamaa walivyokuwa wanafoji economic impacts za miradi na sisi tumefanyiwa hivyo hivyo. mchina anatuingiza mkenge na atatunyonya sana huko mbele."Confessions of an Economic Hitman" nimekisoma miaka michache iliyopita, ni kitabu kizuri sana, hasa kwa sisi wa nchi "changa" ambao hatuna adequate checks and balances kwenye systems zetu.
Majuzi kuna member mmoja alileta thread hapa kuhusu bandari ya Bagamoyo na ku question validity yake with a strong opinionated view that it was just a "White Elephant" project.
Nikakumbuka sana hiki kitabu.
Unaoanishaje mambo yaliyomo katika kitabu hiki na habari za bandari ya Bagamoyo?
mi naona kama bado ni mwendelezo wa kutushawishi tufanye miradi mikubwa ambayo hatutakaa kulipa madeni. pia sidhani kama nchi ambazo itahudumia zina biashara kubwa kama jinsi mradi ulivyo mkubwa.ni mradi wa kontena milioni 20 kwa mwaka wakati ukijumlisha bandari ya Djibouti, Mombasa na Dar hazifiki kontena millioni 6 kwa mwaka.pia kuna bandari za lamu na Tanga zinajengwa!. naona wale jamaa walivyokuwa wanafoji economic impacts za miradi na sisi tumefanyiwa hivyo hivyo. mchina anatuingiza mkenge na atatunyonya sana huko mbele.