Ijuganyondo
Member
- Jan 13, 2011
- 62
- 1
Wanajamii,hivi galz hupenda nini kwa wanaume? Hupenda wanaume/mwanaume mwenye sifa gani? Ufanye nini ili u-capture attention yake kwako? Lets help each other!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmm jamani i wish nijue na nikwambia lakini cjui kitu
katibu mgeni, lakini mbona umefikia chumbani moja kwa moja? Kuna sebule kule inaitwa utambulisho. Umepitia kweli kule?
bro huko nimepitia Tafuta ujio mpya. Umenisoma?
Join DateWed Jan 2011Posts1Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power:nono::nono::nono:Kudanganywa
i agree with u, most of .comz ladies wako kipesa zaidi, kwa wale wachache je!La kwanza PESA, hayo mengine ni secondary tu.
katibu mgeni, lakini mbona umefikia chumbani moja kwa moja? Kuna sebule kule inaitwa utambulisho. Umepitia kweli kule?
the gals like men with a laptop, kama huna hupendwi lol!wanajamii,hivi galz hupenda nini kwa wanaume? Hupenda wanaume/mwanaume mwenye sifa gani? Ufanye nini ili u-capture attention yake kwako? Lets help each other!
To say the truth girls like men who care for them. If you care for her she will always love you.