ni miezi 5 sasa toka tulipoachana na mwenzangu but still she is in my head i dont want this, hali hii inanitesa sana

nifanyeje ili nimsahau !!

Hivi futari siku hizi zinalewesha? inawezekana vipi ukapeleka mahali kwa msichana ambae mmeachana?

Kwanza nakupongeza, nakusifu na nnakuheshimu kwa kuwa msikivu.

Ushauri wangu; Kama hamjaoana basi chukulia hiyo ni kheri kwako na iwe ndio njia ya kukutowa kwenye dhambi ya zinaa. Peleka posa rasmi kwao muoane kisheria na muishi kama mke na mume. Kama si mkeo / mumeo wa halali basi hayo uyatarajie kila kukicha hata mkae miaka mia, jee, kama anaweza kukuvulia nguo wewe ambae hamjaoana kinamshinda nini kuwavulia wengine?

Mmeachana kwa sababu gani? Maana ni ngumu kutoa mchango bila details. Nani kamuacha nani? Je mmeachana au umeachwa? Je alokuacha/ulomuacha ana sifa gani za kuendelea kukumbukwa? Nasema hivyo kwa kuwa inawezekana wala hastaili kukupa pressure bali umejiepusha na matatizo kwa ku break up nae but it depends on the story behind. Na kama wewe ndiyo chanzo cha tatizo then inabidi ujipange upya kwani hata utakaye mpata kama replacement atafanya the same kama hujabadilika.
kweli we parachichi.inabd uweke assumption kwamba ameathirika ili hali wewe ni mzima,within 24hrs atakua permanently deleted from your mind!
ulupaswa baada ya kumkosoa kuhusu suala la lugha uendelee kumpatia ushauri kuhusu mada husikahapo ndo ungeonekana umefanya kitu cha maana na sio kumwacha hewani kama ulivyofanya. lakini sio kosa lako pia maana wewe ni faiza fox.....Kwanza kabisa usipende kutumia lugha za watu kama huzijui vizuri. Nakuomba siku nyingine ingia jukwaa la lugha upate msaada wa unachotaka kuandika kwa lugha ya watu, utapata kujifunza, hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu. Unajidharaulisha unapoandika vibaya ama lugha yako ama ya watu, hata mada yako inakuwa haina maana tena.
haswaaaaaaaaaaaaaaaahapo kwenye title mbona hueleweki na maelezo yako ni fillings au feelings
mambo vp bi mkubwa?Kwanza kabisa usipende kutumia lugha za watu kama huzijui vizuri. Nakuomba siku nyingine ingia jukwaa la lugha upate msaada wa unachotaka kuandika kwa lugha ya watu, utapata kujifunza, hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu. Unajidharaulisha unapoandika vibaya ama lugha yako ama ya watu, hata mada yako inakuwa haina maana tena.