What do i do to remove her from my feelings??

What do i do to remove her from my feelings??

ni miezi 5 sasa toka tulipoachana na mwenzangu but still she is in my head i dont want this, hali hii inanitesa sana

nifanyeje ili nimsahau !!

all u have 2 do is 2 4get n move on with life.

Kwanza nakupongeza, nakusifu na nnakuheshimu kwa kuwa msikivu.

Ushauri wangu; Kama hamjaoana basi chukulia hiyo ni kheri kwako na iwe ndio njia ya kukutowa kwenye dhambi ya zinaa. Peleka posa rasmi kwao muoane kisheria na muishi kama mke na mume. Kama si mkeo / mumeo wa halali basi hayo uyatarajie kila kukicha hata mkae miaka mia, jee, kama anaweza kukuvulia nguo wewe ambae hamjaoana kinamshinda nini kuwavulia wengine?

duh! Mama upo! Nilikumis!

Mmeachana kwa sababu gani? Maana ni ngumu kutoa mchango bila details. Nani kamuacha nani? Je mmeachana au umeachwa? Je alokuacha/ulomuacha ana sifa gani za kuendelea kukumbukwa? Nasema hivyo kwa kuwa inawezekana wala hastaili kukupa pressure bali umejiepusha na matatizo kwa ku break up nae but it depends on the story behind. Na kama wewe ndiyo chanzo cha tatizo then inabidi ujipange upya kwani hata utakaye mpata kama replacement atafanya the same kama hujabadilika.

UNA SIFA ZOTE ANAZOSTAHILI KUWA NAZO NYUMBA KUBWA, HONGERA SANA. Pamoja na ushauri mzuri uliompa, naongezea kidogo ASIFANYE HARAKA YA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO MENGINE KABLA YA KUFAHAMU MATATIZO YALIYOPELEKEA KUVUNJIKA KWA UHUSIANO WA MWANZO ILI ASIJE AKAYAHAMISHIA HUKO. Kama mliumbwa kuwa mke na mume haitajalisha mmepitia nini na wakati gani mtajikuta mmerudiana na kuyamaliza pasipo kila mmojawenu kuanzisha uhusiano mpya. MAPENZI YA KWELI HAYAKOSI MISUKOSUKO NA USHINDI, ILA MKIONA HAYASULUHISHIKI AMINI AMKUUMBWA KUWA PAMOJA. Utampata mwingine baadaye. POLE SANA.

do u still love her/him ??????????

bora we unamiezi mitano, mi nna mwaka na miezi minne but still yupo kichwani, nshatafuta replacement mbili but zote hazijanisaidia kitu zaidi ya kuongeza maumivu, naomba wana jamvi mtoe ushauli tuelimike sio kuponda mtu alichoandika.

pole sana GANGO na JATELO najua kwa akili zetu kamawe hatuwezi kabisa kuwaondoa tuliowapenda kwa mioyo yetu kwa dhati ila mungu anahusika kutusaidia na kutupa faraja na kutuwezesha ,
NAWASHAURI MJUE KUWA MUNGU NI MWEMA SANA KWETU HIVYO KILA JAMBO LINATOKEA KWA SABABU, Tena muwe mnamshukuru mungu kwan anajua na ndio maana ameruhusu hayo yawatokee na anajua atawashindia kwa hiyo keshen mkiomba na kushukuru kwani mungu amweakingi jaribu kubwa sana maishani mwenu . msilaumu
nawatakia amani ya kweli mioyoni mwenu ,poleni sana

Kwanza kabisa usipende kutumia lugha za watu kama huzijui vizuri. Nakuomba siku nyingine ingia jukwaa la lugha upate msaada wa unachotaka kuandika kwa lugha ya watu, utapata kujifunza, hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu. Unajidharaulisha unapoandika vibaya ama lugha yako ama ya watu, hata mada yako inakuwa haina maana tena.
ulupaswa baada ya kumkosoa kuhusu suala la lugha uendelee kumpatia ushauri kuhusu mada husikahapo ndo ungeonekana umefanya kitu cha maana na sio kumwacha hewani kama ulivyofanya. lakini sio kosa lako pia maana wewe ni faiza fox.....

Kwanza kabisa usipende kutumia lugha za watu kama huzijui vizuri. Nakuomba siku nyingine ingia jukwaa la lugha upate msaada wa unachotaka kuandika kwa lugha ya watu, utapata kujifunza, hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu. Unajidharaulisha unapoandika vibaya ama lugha yako ama ya watu, hata mada yako inakuwa haina maana tena.
mambo vp bi mkubwa?
umetoka kwenye siasa kuja kutugombezea watoto wetu MMU?

Kijana learn how to hate her that iz solution ya kumuondoa katika feelimg zako

Back
Top Bottom