Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 71
Uzoefu wangu hali kama hii inapotokea nafanya yafuatayo:-
a) Naondoka eneo la tukio au karibu na mhusika for a while (hours, day, etc depending on who is who)
b) Kama jambo lenyewe ni nyumbani naweza kuwa ofisini nafanya kazi nyingi sana hata za watu wengine literally naomba kuwasaidia kazi zao..just want to help and be very busy (napata shukrani kutoka kwa watu huwa ina realize my feelings! nikirudi nasoma Quran nalala
c) Kama ni weekends na niko nyumbani (thank God napenda kucheza mpira na Velloyball) so naenda uwanja wa karibu nacheza kwa nguvu zangu zote muda mrefu..nikirudi nimechoka. nasoma Quran nalala ....
Kwa kufanya kazi hasa za wengine napewa shukrani nafarijika,(unaweza kufanya any charity activity),
kufanya kwa nguvu (kazi na michezo) na muda mrefu kuliko kawaida nasahau na kuchoka
na kwa kusoma Quran napata majibu ya matatizo yangu na uvumilivu that is how I used to solve my pain