What do you do when your second half locks you out of the room?

Tata

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2009
Posts
5,799
Reaction score
2,729
Guys I have been approached with the question above from somebody who was locked out of his bedroom by an angry wife after an argument over an issue. The guy ultimately broke into the room. What do you think is an appropriate action for the guy to take bearing in mind that they are in a stalemate at the moment.
 
...wenye busara zao husema usifanye maamuzi makuu ukiwa katika hali ya hasira au kuchukizwa......:alien:!
'The ousted' alale sebuleni na aendelee na hamsini zake watayajadili hayo hali ya 'fukwe ikiwa tulivu'....siku zijazo!
 
Badala ya kufungia chumbani ili wamalizane ye anamfungia nje? Not cool.

Jamaa kafanya la maana kujirudisha pale anapostahili kuwepo, ila itabidi alipie gharama za kurekebisha alipobomoa . . . HASARA.
 
ahahaaa nyumba za watu zina mambo khaa
 
simple, go to the guest house , pay n rip!!
 
Nani analipa kodi ya nyumba?
Au kama nyumba yao nani anamiliki >50%?
Kama wanamiliki 50/50 kapata wapi mamlaka ya kumfungia??
 
Dawa ya mwanamke mwenye hasira ni kutafuta mwingine!
 
he should walk away & come back later when she is settle down.
 
Mwambie dirishani kuwa utarudi kesho baada ya kufuatilia chenji ya rada kazini, na yeye atoe mahitaji yake.
Mlango utafunguliwa chap chap!
 
Last edited by a moderator:
wengine unawafungia
wanarudi after two days lol

The Boss yaani sio hadithi tu, hapa ninapopoishi kuna mwanaume mmoja alikuwa na nyumba ndogo jirani tu. Akichelewa kurudi nyumbani labda saa 4 usiku mke anamfukuza na kumwambia arudi kwa "huyo huyo uliyekuwa naye aliyekuchelewesha". Mwanaume akiambiwa hivyo anaenda kweli kwa nyumba ndogo analala hadi asubuhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…