- Thread starter
- #21
hilo ndio kosa ambalo sitakaa nilifanye......
Preta wewe mjanja. Huyu jamaa hakuwa na wazo la nyumba ndogo ila ukweli kwa sasa anatafakari kuwa na "spare trye".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo ndio kosa ambalo sitakaa nilifanye......
The Boss yaani sio hadithi tu, hapa ninapopoishi kuna mwanaume mmoja alikuwa na nyumba ndogo jirani tu. Akichelewa kurudi nyumbani labda saa 4 usiku mke anamfukuza na kumwambia arudi kwa "huyo huyo uliyekuwa naye aliyekuchelewesha". Mwanaume akiambiwa hivyo anaenda kweli kwa nyumba ndogo analala hadi asubuhi!
aisee! :spy: hivi bado watu wanalokiana nje??