The Boss yaani sio hadithi tu, hapa ninapopoishi kuna mwanaume mmoja alikuwa na nyumba ndogo jirani tu. Akichelewa kurudi nyumbani labda saa 4 usiku mke anamfukuza na kumwambia arudi kwa "huyo huyo uliyekuwa naye aliyekuchelewesha". Mwanaume akiambiwa hivyo anaenda kweli kwa nyumba ndogo analala hadi asubuhi!