What does absence of COW at SGR launch mean?

Hahahahaaa
Today is the official SGR Day, no bullshit.
Any form of diversion from the main theme shall be countered effectively.
Maximum compliance is required, thank you.
 
What business would they have attending that launch, which at this juncture, is basically a Kenyan affair?
This is a Nairobi- Mombasa railway, it has not yet extended into the territories of those other countries. Perhaps once this project is finalized; with the railway ultimately linking all the countries as planned, they will come together to celebrate the feat.
 
Alisema nani? Hebu acha ujuha wewe wa kufananisha watu ovyo. Ulishawahi kuniona nabishana ovyo kama mjinga? Ukifanya jambo zuri nakusifia lakini ukifanya blunder nakuponda... period!...
Acha kushika makali dogo, sijasema ni wewe. Kwani wewe hauwezi kung'amua mantiki ya mimi kusema "nyinyi" mlisema hili na lile kuhusu mradi huu?

Watanzania wengi, kinara wao akiwa mwanzilishi wa uzi huu waliponda sana mradi huu na kuitaja kama ndoto za mchana.

Bila shaka wewe ni mgeni humu.
 
Yes good good good good Safi Museveni Safi Kabila Safi Kagame nafikiri mnamuelewa Magufuli reli ya umeme itawafikia achaneni na hizo chuma chakavu Safi sana good
 
Hahahahahaa cow is mooooo hahaha uhuru kaachwa yatima cow wamemshawishi aende akakope mihela haraka haraka aunganishe train Uganda na Rwanda mwishowe wamemtosa Hahahaha kama kwenye pipeline eti kauhuru kakajidai kwenda total hq kumbe kazi bure Hahahaha uhuru lazima tukushikeshe adabu Tanzania Hahahaha
 
Labda hawajakaribishwa
Hakuna wamealikwa sema wanajua nini wanataka na watakipata Tanzania tu na sio pengine saivi tu bila reli services za pale bandarini ni superb tumeshawapa Congo ICD yao private na tunataka tuwape surprise Uganda pale Tanga you know we have plenty of of hobours here.
 
Hahahahaaa
Today is the official SGR Day, no bullshit.
Any form of diversion from the main theme shall be countered effectively.
Maximum compliance is required, thank you.
Hahaha the main theme is not that you mentioned you know exactly what is deference!!! Hahahaha you failed even to convince the cheap Salva Kiir to the launching
 
Hahaha the main theme is not that you mentioned you know exactly what is deference!!! Hahahaha you failed even to convince the cheap Salva Kiir to the launching
man you r trying to hard to remain relevant..hahaa.najua hii ya leo yauma lakini vumilia pengine ruwaza yenu ya 3020 itawapatia bullet train ya cargo.In the mean time,,kenya walks the talk...mambo ni kama haya
 
No SGR IS halfway

Ukianza kitu maliza kwanza ndio uite watu washeherekee ...

U cant score an A In form3 and call your whole family for Graduation ceremony before u finish form4 geza maliza forth kwanza smh....skuizi umekuwa petty mpaka yashangaza
 
Deputy Prime minister wa Uchina was in attendance dimbidis eat that
 
man you r trying to hard to remain relevant..hahaa.najua hii ya leo yauma lakini vumilia pengine ruwaza yenu ya 3020 itawapatia bullet train ya cargo.In the mean time,,kenya walks the talk...mambo ni kama haya
You just drop off that EAC flag because even members of the COW didn't appear not even their representatives so sad hahaha

Remember the main and very primary target of the project was to link Mombasa Harbour with Uganda Rwanda who are now enjoying their spectacular satisfactions in fullest from us hahaha. R.I.P COW
 
and it will still be linked,,,kwani umeoteshwa na mizimu ya kwenu ya kwamba ndio reli imeishia Nairobi?
 
Paul Kagame✔‎@PaulKagameCongratulations KENYA for#SGRLaunch.3:03 PM - 31 May 2017279279 Retweets482482 likes
 
and it will still be linked,,,kwani umeoteshwa na mizimu ya kwenu ya kwamba ndio reli imeishia Nairobi?
Nope didn't say that because I knew exactly the final destination will be kakamega hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…