CoW members hawajaachana na Kenya katika kuendeleza mradi wao. Kumbuka alivyosema M7, ya kwamba kwanza ni kucompare mwanajibwa yupi atakuwa na kukuwa mwindaji hodari.
Kenya imejitahidi sana, na miradi yake inaendelea vyema, huku ya Tz ikisemekana kukumbwa na matatizo. Je, wao kweli wataweza kungoja hadi msuluhishe haya matatizo yenyu kwanza, ambayo hata hayajulikani yataisha lini?
Elewa ya kwamba Rwanda na Uganda hawana chuki na Kenya, wala mapenzi ya dhati kwa Tanzania. Ni interest ya taifa yao ndio wanazingatia hapa.