What does it take to be a double agent?

What does it take to be a double agent?

Double Agents ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku bila wao dunia haiwezi piga hatua ya kimaendeleo, mfano katika suala la military industrial complex yaani US angekuwa na mabomu ya nyuklia yeye peke yake tu! we unadhani dunia ingekuwaje?
 
kwa tanzania sijui ila inawezekana ila ki private zaidi...

zaman ilikuwa ukikamatwa unaweza fanywa double ila kwa kuwa chini ya ulinzi ila kutokana na maendeleo na kujua hizi risk za kuwa double still watu wanajua namna gani ya kujiokoa maisha yao..

staili nyingine ya u double agent inatumika kumset agent tangu kichanga huko lakini baadae anageuka na kutoa info zote kwa upande wake..hio hutumika kama kwenye mambo ya kidini na ugaidi.

kuna hawa covert op hawa nawaona ni double agents ambao wapo kisiasa zaidi kazi yao ni kutafuta namna gani malengo yao yatafanikiwa na hao ndo wamejazana huku kwetu afrika na tz kwa ujumla
 
Back
Top Bottom