Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
samahani sana wanajamvi. Nilinogewa na mada nikajisahau lugha ya taifa ni kiswahili. Ila sijacopy sehemu yoyote zaidi ya hiyo video link.. ntatoa update ya kiswahili

Kwa TZ double Agent ni ZITTO kabwe