1. I fail to understand kwa nini unasema waliowaua wazazi wako ni simply "wahutu" kwa kumaanisha wahutu wote wana share responsibility for that. While i sympathize with your loss, wale wakimbizi wa 1959 kama kagame (and maybe your family) walikuwa ni wale elites ambao walipinduliwa. Some of them even threw themselves in the river (may be the same one you are referring to) ili wasitawaliwe na 'watumwa'. So you see haikuwa simply vita dhidi ya watutsi, if that was true, where did those tutsi who died in the 94 genocide came from? I repeat, it was a revolution against the elite tutsi, not indiscriminate killing like kagame does in the congo under the guise of hunting fdlr. Ndio maana serikali iliyotokana na hayo mapinduzi ilitambuliwa dunia nzima.
Na lets not forget the fact kwamba even after mapinduzi, tutsis have always had their highest population in rwanda! Kama ingekuwa si hivyo majority ya watutsi si wangekuwa wakimbizi kama wewe? How do you explain your claim kwamba ulikuwa mkimbizi tanzania wakati kulikuwa na waziri kama lando ndasingwa kaka yake louis mushikiwabo kwenye serikali hiyo hiyo? Yeye alikuwa mtutsi nusu?
2. Concerning the hardships you went through mi siwezi kucomment kwa sababu siwezi kuverify ila naweza kukupa point zifuatazo.
- tanzania ndiyo iliyowahifadhi 1959, hilo hata wewe unakiri.
- tanzania imewapa uraia wengi tu, mmekulia hapa, mmesoma hapa, mmepata kazi na wengine mmeacha uraia mkarudi kwenu kama donald kaberuka phd, na wengineo.
- tanzania hiyohiyo ikafanya jitihada za kusuluhisha migogoro yenu kupitia arusha accords.
- baada ya "genocide" tanzania hii hii ikakubali kuweka mahakama ya ictr nchini kwetu, ambayo mpaka sasa ipo.
- tanzania hii hii ndio iliyoipigia chapuo rwanda iingizwe kwenye eac, it wasn't your brother uganda, but us!
unaona hii maneno yako ya kuashiria we hate tutsis yasivyo na akili wachilia mbali ukweli? What obstacles did tanzanias put on your way? The truth ni kwamba you guys behave like children, mnadhani ufalme feki mliopewa na mbelgiji unatakiwa kudumishwa. Hatuko tayari hata siku moja kutetea ufalme wa watutsi over wahutu, sisi wenyewe tanzania ni zao la kulinda mapinduzi ya zanzibar. Siku zote tuko neutral, we have no reason ya kutetea wauaji, tuliwahukumu wahutu kwa makosa yao, na tutawahukumu watutsi kwa makosa yao. Angalia rekodi yetu kabla hujaongea.