What does Kagame and Museveni love and hate relation tells about the danger of EAC political federat


Mkuu Jokakuu, huyo Koba si mtu wa kubishana naye; you are wasting your time with somebody whose understanding is unusually low. Unabishaje kuhusu political fed kitu ambacho kipo wazi? Na wana fast track kwa sababu m7 anataka yy ndo awe first president wa EAC
 
Number 2 and 5 is all lies,number 4 is debatable and for number 1 and 3 Kagame is my HERO na hata Nyerere ali support!!

See yr thinking capacity..2 and 5 lies wakati hata mtoto wa nursery school hapa TZ anajua kagame threatened HE JM Kikwete? Why then didn't he try to make his dream true? Throwing other countries govt is heroism to you tutsi coz you are born with the spirit of violence. Hivi koba ulienda shule wapi? Au milio ya bunduki imeharibu ubongo wako???
 

asante sana mkuu jmal. Ila shida ni kuwa huwa hawapendagi ukweli kama huu..
 
Mmoja mwenye busara akiacha kijibu mjadala utaisha. It has no.meaning to humanity. Just hatred to benefit politician. Sijapenda manen yeno
kama huyapendi maneno yetu achana na hii thread..... hawa watutsi wenye ideology za kipumbavu ni lazima waelezwe (nasema wenye ideology za kipumbavu kwani najua sio wote wenye ideology za hivi)!....unless otherwise na wewe ni mmoja wapo....
 
Number 2 and 5 is all lies,number 4 is debatable and for number 1 and 3 Kagame is my HERO na hata Nyerere ali support!!

Hivi huyu dikteta Kagame anakulipa kiasi gani cha fesdha? Una kanusha mpaka ukweli wa wazi? WEWE umewahi kuwa na ukaribu na PK kama alivyokuwa nao Kayumba nyamwasa? siyo hiyo tu, PK alihusika na mauaji ya hayati Thomas Sankara pia.
 

Umeshindwa kujibu lolote kwa heri
 

..Sezibera alisema anataka kutushitaki.

..mimi napendekeza watufukuze kwenye EAC.

..kwa mtizamo wangu ni bora kuwa na bilateral relations na majirani zetu wa kaskazini kuliko hii jumuiya.

..kuhusu federation, Rw na Ug wataisikia kwenye bomba. Kenyatta yuko kibiashara zaidi kuliko kisiasa.

NB:

..ardhi ni muhimu kwa wa-Tz kwasababu 80% ya wananchi wetu ni wakulima na wafugaji.

..tusipokuwa makini na suala hilo tunaweza kuishia kuwa kama Somalia.
 
Hatua mie nakubaliana na wewe ,l know Kenyan wao wako after uchumi wao,napenda wanavyoplay game,
Kikwete alipotoa tamko kuhusu EAC only Kenya ndo walitoa tamko la kuunga mkono ,tafakari.
 
I think it's time for Tanzanians to leave mr Kagame alone and mind our own business. We do have a lot on our own plate, and it's just a mere nonsense to bash PK. I'd rather have PK to lead Tanzania and get the house in order than our absentee president who is out of touch with his people. Ukiondoa ujinga wa mavita, I think PK is a better leader than JK. Sorry!
 

Then apply for rwandese citizenship. . You are not tied to the TZ land.. it is utter nonsense to give harsh comments to yr President like that..unless you tell me you are type of koba and his company..
 
Then apply for rwandese citizenship. . You are not tied to the TZ land.. it is utter nonsense to give harsh comments to yr President like that..unless you tell me you are type of koba and his company..
I'm a Tanzanian, and shall remain a Tanzanian. I do have ZERO TOLERANCE with incompetent leaders, and I refuse to be silenced by your harsh accusations. Again, PK (ukiondoa ujinga wake wa vita) is a better leader than JK. It hurts for me to swallow the reality, but that's a mere fact. Sorry!
 
Who are "these people", if you mean TZ aren't the same people you have always running to in refuge since the ages when you start killing each other?

good statement like cockroach killer!
 

is a cockroach able to lead a human being?
 

waambie hao wanafiki wakubwa, dawa yao inachemka
 

Much like you going back to an old article herein. I, too....find myself talking about the same thing here. A while back here in JF I said Kenya and TZ are making a stupid mistake embracing Kagame for he is a killer and NOT a peace maker. Kagame has lot's of political enemies in Kenya who ran away from his regime. To get and destroy them easily he has to integrate in EAC. Kagame is NOT a good person as well as his mentor (Museveni)....this EAC as long as Kagame is there is doomed to collapse as he is only there for his interests which is to hunt for his political dissidents. We shall wait and see.
 
Juzi Kenya wamesema hawakujua kuwa kuna baadhi ya mambo hadi JK alipohutubia bunge. Wanafahamu kuwa TZ ni mshirika wao mkubwa kuliko hao wengine kwa pamoja. Wakenya wameliona wakamwambia Uhuru anawapeleka wapi?

Anyways nilidhani akina Murutongore wangejibu hiyo article naona hawana jibu na inabaki kuwa kama ilivyo.
 

Mkuu i can agree with you, and it is not a secret that Kagame is tutsi extremist, but can you really mention any President in this world who is not a killer? who does not violate human rights? who does not steal?...if you can may be that President will be impotent president. Uzuri wa PK ni kuwa ametuliza nchi kiasi na inapiga hatua kiasi, he is not a killer who ruins, loot and plunder his country. In African standards that qualifies him to be a good leader.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…