What does kisumu port construction means to Mwanza, Bukoba and Port Bell?

Yaani hapo tumekamata Uganda ikakamatika, tunafuata asilimia 10% ambazo walikua wanafuata Tz, na pia Bukoba na Mwanza tunawatia kapuni kabisa.
 
Most sectors of the kenyan economy have undergone massive transformation in a short span of time . after we are done with infrastructure we should focus on manufacturing .
All of them are being done concurrently..There is the Lamu SEZ, Naivasha Industrial Park,Uasin Gishu Industrial Park, Kisumu SEZ, Tatu City Industrial Park, Infinity Industrial Park, Viking Thirty Industrial Park.......
 
Yaani hapo tumekamata Uganda ikakamatika, tunafuata asilimia 10% ambazo walikua wanafuata Tz, na pia Bukoba na Mwanza tunawatia kapuni kabisa.
Hivi vinyangarika vitalia hadi damu....Kaza nati kijana wa uhuru kazaa
 
Hiyo bandari ya Kisumu watumiaji wakubwa ni meli za Tanzania.

Mkandarasi hajitaidi kuzuia magugu maji yanakuwa tatizo sana kwa propela za meli yananasa mpaka kutoka au kuingia inakuwa ngumu.
 
Hii bandari ni muhimu sana kwa Afrika Mashariki yote tukiacha wivu. Itafungua biashara kati yetu in magical ways. Bandari hiyo ikiwa na meli sahihi itacut distance from the West of Victoria to the East and travel time by a day. With SGR in place the port can do magic.

Ni fursa kwa bidhaa za magharibi kufika Kenya na Ulaya kwa urahisi. Parachichi za Kagera na Burundi sasa zitaweza kufika Kenya for transhipment in a day. Hata mizigo ya Rwanda nayo itafika Kenya kirahisi. Bila kusahau Bandari ya Chato inaweza kuwa na manufaa kama itakuwa kiunganishi cha magharibi as a gate way to Kenya.

Tunahitaji kupunguza vikwazo vya kimipaka kufaidika kwa pamoja.
 
That's correct.Tukiacha our primitive competition and work for a common good we can make such a huge market in this part of the world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…