What does kisumu port construction means to Mwanza, Bukoba and Port Bell?

What does kisumu port construction means to Mwanza, Bukoba and Port Bell?

Tatizo la wakenya hawana soko la bandari zao macho kodooo Tanzn, mtapata tabu kwa goli la kisigino subirini 😁😁
Mimi ni Mtanzania ninayeona fursa hapa. Si mfuasi wa Lumumba anayeshabikia mambo bila kufikiri.
 
Kiukweli ni rahisi kusafirisha bidhaa kutoka Mombasa to Uganda au mwanza and lake zone as hole via kisumu instead of dar,huu ni ukweli mchungu
Kama serikali ya Tzn ingekuwa serious bandari ya kuijenga ni tanga na musoma,reli ya tanga Arusha hadi musoma hapo zingegawana biashara na Uganda huku ikiconsolidate biashara ya mwanza na Arusha sio hiyo reli ya kati,ile ingekuwa maalumu kwa Burundi,rwanda na east DRC tuu
Binafsi sijakuelewa unamaanisha nini.
 
Na Nani alikudanganya Kenya Kuna xenophobia? Jaguar hasimamii wakenya wote. He is just a Politician. And has been arrested as we speak.
 
tatizo lenu majiran zetu ni watu wa show off nakufikir eti wenzao wamelala iv mnajua kama tuna project ongoing ya kukarabati bandari ya mwanza kuiunganisha na reli ya SGR toka isaka then kusafirisha mizigo kuelekea port bella uganda !!! ss sijui kama ilijambo mnajua !!
 
Utakuwa umerogwa wew
We kweli Mbulu kenge,mfanyabiashara dungaembe kama ww ndio anaweza safirisha mzigo wake kutoka Dar port had mwanza then apakie kwenye meli hadi port bell Uganda akaacha kutumia route fupi ya Mombasa kisumu to portbell
Ndo maana nikakwambia mkitaka kuwini na kugawana mzigo wa Uganda jenga reli na hizo ports mbili from tanga Arusha to musoma,,then meli to Uganda hii ni route fupi kuliko Mombasa kisumu ila kutegemea hiyo ya mwanza mumechemka kama togwa
 
tatizo lenu majiran zetu ni watu wa show off nakufikir eti wenzao wamelala iv mnajua kama tuna project ongoing ya kukarabati bandari ya mwanza kuiunganisha na reli ya SGR toka isaka then kusafirisha mizigo kuelekea port bella uganda !!! ss sijui kama ilijambo mnajua !!

Povu tu.kwa ligi ya mdomo hamjambo
 
Hata SA walianza hivyo hivyo
Funny thing ni kuwa hakuna Mkenya ashawahi guzwa huko SA unlike noisy "tuliwakomboa" Tanzanians. Inaonekana Tz compete directly with Mzansi in the informal sectors hence the backlash.
 
Back
Top Bottom