Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Uzinduzi wa NGR Dar-Tanga-Moshi wamesema treni itafika Musoma as a start! Kuna vijana wa jeshi wanasomea ujenzi wa reli katika SGR project.Well said mkuu. Ila kama unafatilia basi unajua kuwa serikali ina haha kutafuta financing ya SGR ya Northern circuit kuanzia Tanga port. Pia kuna SGR ya Mtwara kuelekea Mbamba bay. Hii nimeona kwenye bajeti ya mwaka huu imetengewa fedha ya upembuzi yakinifu na financial advisory.
Ila kuhusu upanuzi wa bandari za Tanga na Mtwara inaeleweka kazi inaendelea.