What does kisumu port construction means to Mwanza, Bukoba and Port Bell?

Miradi ya kujitutumua isiyokuwa na positive impacts kwa wananchi na nchi.Hasara juu ya hasara suck kind of madaraja can't elevate the country from ldc status
Boiling with hate! Since u started talking of Likoni bridge, at least 5 major bridges have been constructed! From Umoja to Mkapa to Kikwete to Nyerere to Magufuli n now Salender, Kirumi, Wami n soon Kigongo-Busisi! That is nearly 10:0! Boaaay I feel ur frustration!

This is what we know about Kunyaland

Hata mkuwe na SGR enye inamove at a speed of 2000000km/s Uganda will still prefer Kenya and Kisumu port over Tz.
Cause ur SGR cargo trains move less than 70km/h, doesnt mean ours will move less than 120km/h! Just stop ur fantasy!
 
Hehehe expansion of Kisumu port ikiisha Mwanza will be functionless to Kampala
 
Iyo ni Meli or pick up?.Hiyo hata contena 7 haibebi.
Mwisho was hio reli kuna lower deck ambayo huioni from that angle ambapo ndo kontena zinapangwa juu ya nyengine.... That boat has a bigger capacity than yours!!!! It was the biggest b4 EAC collapsed
 
Mwisho was hio reli kuna lower deck ambayo huioni from that angle ambapo ndo kontena zinapangwa juu ya nyengine.... That boat has a bigger capacity than yours!!!! It was the biggest b4 EAC collapsed
Tell him Kafrican,Ni wa juzi huyo
 
Mwisho was hio reli kuna lower deck ambayo huioni from that angle ambapo ndo kontena zinapangwa juu ya nyengine.... That boat has a bigger capacity than yours!!!! It was the biggest b4 EAC collapsed
Having one big ship while ..we are constructing a new one ..plus reviving other 3 ..in terms of ship and marine vessels we are ahead of you...MV uhuru is almost same age as MV Victoria.we are builiding a new 21st centrury ship

MV Victoria is the largest passenger vessel carrying 1200 passengers and 200 tons of cargo it is almost 80m in length

MV Uhuru and MV Umoja have the same size in length both being train ferries ..the can carry upto 1180tonnes 22 wagons..so it means on train ferries we are tie..

We are also construncting a new passeneger ferry 1200 passengers 400 tonnes and can carry up to 20 cars ..meaning it will be the largest at 90meters
 
Construnction of this plus reviving other 2 ..plus constructing a 100m slip way meaning even mv uhuru can come for major services at Mwanza Port Slipway
 
Even on wagon ferries there's no tie we have 2 while they have one!
 
Tatizo hujui biashara na uchumi, unachojua ni porojo tupu. Mfanya biashara vitu anavyotaka ni gharama za usafirishaji kuwa chini, jambo ambalo bandari ya Mwanza kufikisha Dar ni cheap by 40% ukilinganisha na Kisumu Mombasa kwa kutumia Diesel SGR.
 
40

40% down kwa kutumia reli ipi hii ya kwenye makaratasi au? Wewe kiazi subiri muimalize if at all u gonna finish it ndo uje kuongea sio unaropoka feelings na wishful thinking hapa
 
Miradi ya kujitutumua isiyokuwa na positive impacts kwa wananchi na nchi.Hasara juu ya hasara suck kind of madaraja can't elevate the country from ldc status
Unajua umuhimu wa miundombinu ya barabara za mikoani katika kujenga uchumi imara vijijini? Sio kukazania kujenga flyovers Nairobi wakati Wajir na Garisa hawahahi kuona lami.
 
Unajua umuhimu wa miundombinu ya barabara za mikoani katika kujenga uchumi imara vijijini? Sio kukazania kujenga flyovers Nairobi wakati Wajir na Garisa hawahahi kuona lami.
If u have strong economy with yr miundombinu mikoani what are doing in ldc dam?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hata mkuwe na SGR enye inamove at a speed of 2000000km/s Uganda will still prefer Kenya and Kisumu port over Tz.
Hahahaha, ninakumbuka nilipokua mdogo, mama yangu alikua ananiambia Maneno ya kuniliwaza pale alipokua anashindwa kunipa kitu nilichokua nikikihitaji, alikua anatumia msemo kama huu.
 
Well said mkuu. Ila kama unafatilia basi unajua kuwa serikali ina haha kutafuta financing ya SGR ya Northern circuit kuanzia Tanga port. Pia kuna SGR ya Mtwara kuelekea Mbamba bay. Hii nimeona kwenye bajeti ya mwaka huu imetengewa fedha ya upembuzi yakinifu na financial advisory.

Ila kuhusu upanuzi wa bandari za Tanga na Mtwara inaeleweka kazi inaendelea.
 
Mwisho was hio reli kuna lower deck ambayo huioni from that angle ambapo ndo kontena zinapangwa juu ya nyengine.... That boat has a bigger capacity than yours!!!! It was the biggest b4 EAC collapsed
Wewe hata huelewi kinachozungumzwa hapa, badala yake unazungumza vitu usivyojua. Wagon ferry haina kupanga containers, train inaingia kama ilivyo na kuvushwa ili kuendelea na safari ikifika port bell, Uganda.
 
Miradi ya kujitutumua isiyokuwa na positive impacts kwa wananchi na nchi.Hasara juu ya hasara suck kind of madaraja can't elevate the country from ldc status
Kumbe ni aina ipi ya madaraja yanayoweza amsha uchumi mkuu? Ungeelezea ni kwa vipi miradi kama hii haina positive impact kwa wananchi na nchi. Vinginevyo itaonekana unajadili usichojua.
 
Wewe hata huelewi kinachozungumzwa hapa, badala yake unazungumza vitu usivyojua. Wagon ferry haina kupanga containers, train inaingia kama ilivyo na kuvushwa ili kuendelea na safari ikifika port bell, Uganda.
I wanted to tell this mburura the same unless wagon ferry can't dock at that bridge due to shallow waters meaning no train will board a ferry from that port!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…