Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Shows the level of mediocrity na illiteracy kwa hio society inayokubali uongo. Huyu kilaza hajui uko Taalime Mara wanatumia mombasa port na sgr ya kenya. Mbona wasitume dar port? Ni efficiency ndo imewavutia pale mombasa port, mzigo unafika haraka sana na hiyo hiyo approach ndo tutachukua southern Ethiopia nayo. A whole 50 m population equal to that of Kenya inaruria sana!!Ati hakuna lorry ata Moja inaingia Ethiopia,
Hizi uongo ndizo huwa mnapumbaza watanzania wajinga kama wewe?
Na unapata likes,,,mmelaaniwa.
Enda moyale uone mlolongo ya malorri,si story za CCM mchana tawala kamaKANU unaleta hapa.